Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

Haha! Malizia kabisa kuwa hata member wote wa JF ni usalama wa taifa!...

Kazi kwelikweli...

Hapo Itakuwa umekasirika , ni bora kutuliza mihemko ukakojowe ukalale

Unafikiri haijulikani? Viongozi wa bakwata mnatembea na bastola Za kazi gani??
 
Hapo Itakuwa umekasirika , ni bora kutuliza mihemko ukakojowe ukalale

Unafikiri haijulikani? Viongozi wa bakwata mnatembea na bastola Za kazi gani??
Acha upumbavu dogo, nikasirike kwa sababu ya nini? Kwa hiyo kila mwenye bastola ni shushushu? Utakua lini!...
 
It was just a cover. Remember alitabiri Obote atapinduliwa in 1970s. Alikuwa anajua nini kinaendelea through his secret circles of friends and people he was healing
Unajua tofauti ya usalama wa taifa na informer (mtoa taarifa)? Si kila anayeyajua yanayoendelea chini ya zulia ni usalama...
 
yule alikuwa mfuga majini tu wa hapo Buguruni

JESUS IS LORD&SAVIOR
Ni muhimu kuheshimu waliotutangulia mbele za haki,sio busara hata kidogo kumsema Marehemu Shk.Yahaya Hussein bila uthibitisho.
Yamkini hakumfahamu vizuri.
Umuhimu wake na mashujaa wengine ndio uliomsababisha Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere kufuta uchifu na kutawala vizuri Tanzania.
 
Back
Top Bottom