Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

[emoji33][emoji33][emoji33]β€Ό
 
Hilo linajulikana wazi
ndo maana alikuwa free kufanya lolote kwenye utawala wa Nyerere...

Historia yake inaanzia kwenye historia ya Mwenge
na historia ya Nyerere Bagamoyo
Haijasahulika tu?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna benz limozin alipewaga zawadi na mfalme wa uarabuni.
Pia sheikh yahya kuonana na maraisi wa nchi tofauti tofauti kwake haikuwa shida kbs!

Kuna kipindi bakwata walijifanya kumsimamisha uongozi kwa mambo yake aliokuwa anafanya yalikuwa yanapingana na dini(ramli) lakini baada ya muda mfupi tu sikuamini nilimkuta answalisha makao makuu ya bakwata pale kinondoni.

Binafsi naamini hata nje ya dini alikuwa na mizizi mirefu mno!
 
Poor mindset in the current era
 
Kwanza alikua akisoma yeye quran hasomi tena mtu mwingine, yeye anakua wa mwisho
 
Hio stori ya Ludovick Kaijage ni very captivating
Kuanzia pilika za huko Botswana na sio tu Sheikh Yahya bali wale watanzania wote aliokuwa akikutana nao huko wanaojifanya kutaka kumsaidia kumbe wote walikuwa wa kitengo, na wale wa South Africa waliojifanya ni ANC wote kama walipewa kazi ya kumfuatilia.
Mpaka Frelimo wa Mozambique, walivyoletewa na kumfunga jela huku akisubiri kusafirishwa.
Nyerere alikuwa mshenzi tu kwa kweli, kutumia resource zote kumkamata mtu mwenyewe alikuwa mwanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…