Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
 
Nílitegemea kiongozi wa dini akemee yeye anabariki
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
Kauli zile zile za enzi za Jpm

kauli kama hii Dr Slaaa anajutia sana hadi leo.
 
Hawa Mashekhe wa mwendokasi. Mwingine yule sijui yuko wapi. Naye atakuja na mkutano wake wa waandishi wa habari awaambie jinsi majini yanavyoweza kujibu hoja
Dr Sule au Shekhe Wa Dar?

Nchi hii kuna ubaguzi mkubwa sana wa kidini na kikabila.

Enzi za Baba TEK walikuwa wakisema lakini kwa ukali kidogo, enzi za Mama wakawa wakali zaidi. Enzi za Baba watu wa Mtume walikuwa wanaongea sana. Ile leo huwezi amini yale waliyopinga enzi za Baba ndio yale yale wanayafurahia na kuyapongeza

Cc Faiza Foxy na The Boss
 
Ubaguzi gani huo unao ongelea? Watu wanatekwa na wengine wanapatikana wameuwawa unataka ipite kimya kimya sababu kiongozi wa dini yako?

Mtanzania ana thamani kuliko dini yako binafsi. Hata mimi ninayo ya kwangu na sihangaiki na dini ya mtu.
Na hao mashekhe wako wa mwendokasi, nao ni wako na dini yako. Hawahusiani kabisa na kuendesha nchi yetu
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
shehe takataka tupu
 
Back
Top Bottom