Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Watu wanafikiri huyu mjinga amejitungia Maneno haya ila wenye jicho la tatu tunajua kuwa ametumwa na dola kuongea hayaa..
Serikali hii ni kijinga kuliko awamu zote zilizopita
 
Yes, zile bunduki sio za kufanyia ubatizo au mabomba ya kumiminia ice cream. Moja kati ya feature ya dola ni kuwa coercive
 
Hebu Bakwata waje aidha wasahihishe kauli ya shehe wao au wamuunge mkono tujue
 
Wauaji wa serikali ni Jeshi, JWTZ ila ni kuua maadui wa nchi, si raia. Raia hawezi kuwa adui wa nchi kamwe. Hata akikosea kuna namna ya kumuadhibu kupitia mahakama si kwa staili hii. Hata kama alitaka labda kama alitaka kuua, watupe ushahidi basi
 
Wanyakyusa ni watu intelligent sana sasa imekuweje Amekua shekhe!!!
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
Kwanza ni aibu sana na upunguani mkubwa sana kwa mtu ambaye unachunga watu kuwa na uelewa finyu kama ulio nao wewe mwaipopo,msichanganye mada senario tuliyonayo tanzania msifananishe popote,watanzania wanatekwa ,wanauwawa............
nani wa kutulinda?
kama mwenye dhamana anaona okay
 
Back
Top Bottom