Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Baada ya hapo anasubiria kwenda kupokea fungu lake toka ikulu. Shetani huweza kuchukua jina na cheo chochote kile. Usidanganywe na jina wala cheo, angalia kauli na matendo yake ndiyo utajua huyu ni kiongozi wa dini ya Mungu au ni kiongozi wa dini ya utawala wa shetani Duniani.
 
Adhabu ya uhaini ni KIFO ,nakubali wahaini wanastahili KIFO maana ni hatari kwa nchi ila hawa wanaoikosoa serikali kwa lengo la kuisadia hawapaswi kutekwe au kuuawa.

Unasema manabii/viongozi wa dini waheshimiwe? Unazungumzia Kiboko ya wachawi au manabii kama kina Mussa/Nuhu?
 
unaweza ukawa wa alufu moja 77 na bado ukawa mjinga kuwa na umri mkubwa haiondoi ujinga kichwan mwako
Tutoto tea buku mbili banaaaa

Kamebisha hakuna shekhe a anaitwa mwaipopo, kamejibiwa tu tayari kamefungua tobo La mitusi na linatema mbwambwambwa

Anyways - ni makosa ya malezi mabaya
 
amna shida ngoja nimsikilize diamond paltnumz
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
Huu ni ukweli mchungu hakuna mwanasiasa atakwambia ila ndio ukweli wenyewe.

So I can't sympathize with Wanasiasa
 
Mwaipopo, mwamposa ukiona mtu jina lake limeanziwa na Mwa kuna tatizo mahali
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
Nilijua tu wanasiasa kumbe hata viongozi wa dini wana tabia za Kimalayamalaya😡
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
Ila kwa upande mmoja hajakosea amesema ukweli.
Duniani hakuna serikali isiyoua,kila serikali duniani inafanya mauaji.
Mambo mengine ya kisiasa ni bora mtu ukae nayo mbali.
 
Ni basi tu Watanzania wengi hawafatilii habari za nchi zingine,mauaji ya watu katika siasa yanafanyika nchi zote-hutofautiana tu mbinu za mauaji.
Unapoingia kwenye siasa (popote kwenye masilahi) hizo ndio risk zake kifo nje nje-ndio maana hata shuleni tulikuwa tunaambiwa siasa ni mchezo mchafu.
Vifo kwenye siasa ni kama chawa na uchafu.
Imagine USA wenyw demkrasia mtu kama Trump ambaye analindwa na Serikali na bado kutokana na utajiri wake ana ulinzi binafsi-isije kuwa viongozi wa CDM kama Mbowe.
 
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.

Naomba niseme leo watu waviheshimu vitu vitatu na waviogope. Jambo la kwanza muogope sana Mwenyenzi Mungu na Manabii wake na Vitabu vyake, Waogope sana na kuheshimu baba yako na mama yako wana mamlaka makubwa sana na Jambo la tatu viogope Serikali na Vyombo vyake vya dola.

Soma Pia:
HUyu mzee anavyoonekana mstaarabu ,tena kajipandia zake bus kwenda kwa familia yake huku wao wakiwa kwenye ma v8 sidhani kama alimkosea mtu yoyote kudeserve kutolewa roho yake, mungu amsanehe madhambi yake
Hao waliotoa roho yake wajue na wao hakika ipo siku watakufa na wataenda kujibu kwa mola wao huku wakiwa dhaifu kabisa hizi pumzi zisiwatie kiburi
 
Back
Top Bottom