Shekh Mwaipopo: Duniani kote serikali kuna watu wanafanya mauaji, watu wanapaswa kulifahamu hilo!

Tatizo la kuwa na viongozi wa dini mashoga
 
Wenye dini, dini imevamiwa🙄🙄🙄🙄🙄
 
Ila kwa upande mmoja hajakosea amesema ukweli.
Duniani hakuna serikali isiyoua,kila serikali duniani inafanya mauaji.
Mambo mengine ya kisiasa ni bora mtu ukae nayo mbali.
Mkuu kosugi samahani sana naomba kuuliza
Wewe ni wa kwenda ijumaa, jumamosi, au jumapili?
 
Mkuu kosugi samahani sana naomba kuuliza
Wewe ni wa kwenda ijumaa, jumamosi, au jumapili?
Ijumaa mimi ni muislam mkuu.
Ila tukirudi kwa mada ni kweli hakuna serikali isiyoua,japo hilo halizuii kukemea mauaji yanayofanyika.
 
Reactions: Lax
Ijumaa mimi ni muislam mkuu.
Ila tukirudi kwa mada ni kweli hakuna serikali isiyoua,japo hilo halizuii kukemea mauaji yanayofanyika.
Imebidi niulize maana kuna kua na malalamiko ya kwamba kila mtu anavutia kwake. Ila mwaipopo akili yake ni ndogo huwezi kuja kuitisha press ya kusema hakuna serikali isiyoua
 
Imebidi niulize maana kuna kua na malalamiko ya kwamba kila mtu anavutia kwake. Ila mwaipopo akili yake ni ndogo huwezi kuja kuitisha press ya kusema hakuna serikali isiyoua
Hapana hakuna cha watu kuvutia upande wao.
Ila WATANZANIA huwa tunapenda kuhitimisha jambo pasi na kulichanganua.
Mimi nimeshikilia sehemu moja tu kuwa hakuna serikali isiyoua.
Ndio maana unakuta wazee wengi hawashauri vijana wao kujiingiza katika siasa.
Jitaftie zako ugali ule na family ulale.
 
Allah atuongoze, sio kila anayejiita sheikh naye ni sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…