Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Weka clip hapa punguza kujieleza
Sasa unataka niweke katika kila post. Sikutaka kuiweka sababu kila mtu anaweza kwenda youtube na kuitazama lakini pamoja na hayo nimeiweka rudi kwenye moja ya post yangu number #56 clip ipo. Mimi sio naongea maoni yangu mimi naongea nilichosikia wakiongea wenyewe kwa midomo yao, Tech ipo hakuna kum quote wala nini yeye mwenyewe anaongea. Mamlaka yangu....
 
Tatizo la Msikiti wa Mtoro ni kwamba unachoita ugomvi kati ya serikali na Waislamu,huko ndiko ilikoanzia.
Kwa hiyo Mufti lazima awe sensitive kuhusu insurbodination kutoka kwa Msikiti wa Mtoro ama sivyo itaanza duru nyingine mpya ya ugomvi kati ya serikali na Waislamu.
 
T
Tatizo viongozi wengi WA kiislam HII elimu ya kawaida ya dunia iliwapita kushoto,MTU anaejua Quran lakini kaishia la 3 laZma atapuyanga tu,elimu zote ni muhimu
 
T

Tatizo viongozi wengi WA kiislam HII elimu ya kawaida ya dunia iliwapita kushoto,MTU anaejua Quran lakini kaishia la 3 laZma atapuyanga tu,elimu zote ni muhimu
Mimi sidhani kama dini imesema sehemu yoyote kuwa watu wasitafute elimu ya dunia, elimu tumeambiwa tuitafute shida yetu kubwa hapa Tanzania ni ma Sheikh kuifanya misikiti na dini kama miradi yao mikuu ya kuingiza pesa hapa kwa ufupi ni njaa. Nchi zingine mashekh wa misikiti ni waajiriwa tena kwa mikataba na walipwa vizuri sana tu njaa hawana kabisa wala huwezi kuingia misikiti yao ukakuta visanduku vya pesa.

Hapa imam hata hajamaliza salaam ya mwisho watu wa vikapu wameshakurupuka, kwanini? njaa.
 
Unauliza au unatuhumu kuwa kuvaa mipete ni ushirikina? Halafu katika vitu vyote wanavyovaa na kujipamba kwa nini mazingatio yako yawe kwenye pete tu?
 
Nadhani ungejibu tu sisi tusiojuwa yale mapete kumi kumi ni ya nini? mbona rahisi tu
Nadhani wewe ndio ungetueleza hayo unayoyajua kuhusu hayo mapete kiasi cha kuzitilia mashaka, maana uvaaji pete si kitu cha ajabu ila kama wewe unajua kuhusu uvaaji pete nyingi au kuna aina za pete ambazo ni shirki basi tueleze.
 
Nadhani wewe ndio ungetueleza hayo unayoyajua kuhusu hayo mapete kiasi cha kuzitilia mashaka, maana uvaaji pete si kitu cha ajabu ila kama wewe unajua kuhusu uvaaji pete nyingi au kuna aina za pete ambazo ni shirki basi tueleze.
Usijifanye mwehu humu, kuvaa mipete ya ajabu ni ushirikina tu hakuna maelezo zaidi ya hayo. usjitoe ufahamu na viswali vya kitoto hapa kutaka kuhalalisha ujinga huo. Kama unajuwa tusiyoyajuwa si useme tu kuzunguka kama umekuwa wakili wa utetezi ya nini. Mimi nasema mipete ya rangi za ajabu ni ushirikina.
 
kweli wewe ni mama mwajuma yaani unasimulia kitu ambacho hauna uhakika nacho kumbe reference yako ni Mohamed said? Hizo mali za waislamu unazotaja ziliporwa na nani?
Kama lengo lako ni matusi tafuta mtu mwengine akuelezee, kama lengo ni kupata elimu njoo kwa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…