Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Naomba darsa kidogo tofauti ya bakwata na Sunni, mi nilidhani bakwata wote ni Sunni, Ila kwa mjadala huu naona ni tofauti, je kuna chombo mingine kinachowawakilisha Shia, Ahmadia n.k ?
 
"Kukuita wewe ni mjinga ni heshima kubwa, lakin haustahili hii heshima
Wewe ni mpumbavu"

(JK Nyerere)
images (1) (1) (1).jpeg
 
haya yoote ungeyaelekeza kwake mufti! kuja humu kutuambia sisi ni majungu ya kiwango cha PhD.. halafu utasema ulikuwa umefunga! hovyo kbs
Sasa wewe upo JF kufanya nini? akili zingine, hili ni jukwaa hata yeye Mufti anaweza kuwa ni member humu kama sio yeye hata chawa wake watasoma watamwambia. Sasa unafiki niliongea humu? nimesema aliyosema yeye na clip ipo, shida iko wapi?
 
Mkuu,

Sijajua uelewa wako juu ya swala alilozungumza Mufti likoje. Kwa clip uliyoweka hapo ni kuhusu mamlaka ya kuatangaza swala la mwezi.

Kumbuka maswala haya yanategemea miandamo ya mwezi, kwahiyo ni sikukuu ambazo kiuhalisia hazina tarehe iliyo kamili. Sasa jiulize, mamlaka isingekuwepo ya kutangaza, maswala ya utendaji kazi wa taasisi mbalimbali ungekuwaje?, maana kutangazwa kwake kwa mfano kunatoa muelekeo wa kiutendaji kwa serikali na taasisi mbalimbali nchini, kwamba leo ni siku ya mapumziko naa itadumu kwa siku mbili mfano.


So swala la mwezi mnauonaje hilo tuwaachie wataalam, lakini mamlaka ya kutangaza ni muhimu. Vinginevyo itakuwa chaos
Sasa ndugu yangu ni yeye mwenyewe kuna clip anaongelea issue ya Marehemu Mufti Hemed Bin Juma anasema alipewa order toka juu atangaze tena akasisitiza nadhani mnaelewa Juuu, lakini Mufti akatangaza Eid ila yeye alifunga sababu alijuwa hakuna mwezi ni lazima wafunge 30 na akawaambia waumini kesho lipeni siku moja.

Sasa taasisi kama hii na hayo mamlaka unayoyalilia ni yapi? yakupokea order toka juu? unajiuliza order ngapi wamepokea, sio suala la mwezi tena ila order hili limeondoa imani yote na huyu Mufti anayelilia mamlaka. Nakubaliana na wewe kungekuwa na kamati ya mwezi isiyo kuwa ya taasisi yoyote kuwa na wajibu.
 
Huwa mnapenda kushambulia vitu ambavyo hamvielewi, Pete na hirizi wapi na wapi mara sijui majini.
Nadhani ungejibu tu sisi tusiojuwa yale mapete kumi kumi ni ya nini? mbona rahisi tu
 
Bila Bakwata kungekuwa na vurugu mechi huko upande wa pili. Bakwata imesaidia sana serikali kuleta amani nchini. Hao wavaa vipedo, misuli na makobazi ni watu wa vurugu sana. Dunia nzima inajua 🤔
 
Kwa hiyo umekuja kutushtakia Ili iweje, tukampige mufti au?
Nimetoa taarifa hakuna sehemu nimeshtaki kuomba msaada. Mufti kitu gani? sema kiogozi wa Bakwata, hana elimu yoyote hata matamshi yake tu yanatia shaka. Jamaa ni muoga sana na kiti chake cha Bakwata maana anajuwa fika uwezo wake wa kielimu ni mdogo sana,
 
Hii mkuu inahusiana nini na hio darsa uliozungumzia wewe? Naona kama unachanganya madesa mkuu. Darsa linazungumzia siku ya shaka ni 29 ama 30 na ufafanuzi uliotolewa mtoro ni huo na sio mamlaka ya kutangaza mwezi anayo nani.
Wewe nawe uwe unasoma na kuelewa kabla ya kuandika. Nimekwambia issue ya 29 ipo youtube nenda mwenyewe kasikilize sina haja ya kukuwekea hapa, nimeweka hii sababu kuna mtu hakuamini kama kuna siku alikuwa analilia mamlaka hakuwa anaamini kama Mufti anaweza kufanya hivyo ndio nimeweka hii clip kuonesha alililia mamlaka ya mwezi. Au unataka nikuwekee na ile ya msikiti wa Mtoro.
 
Eka clip maana nilikuwepo wakati hao jamaa wanaongea, na wametoa ufafanuzi, mwisho Sheikh wa mtoro yeye kama yeye akatoa ushauri tunapoongea na watu wakubwa tuwe na staha, ila sijasikia popote kwamba Mufti aliwaamsha sababu ya kutaka kuombwa msamaha.

View: https://www.youtube.com/watch?v=lcmaMdDRQKE

Sikiliza vizuri saa saba usiku wamepigiwa simu na wameambia waombe msamaha kabla ya kuanza swala Eid. Eti kuvunjiwa heshima? ukikosea kwenye dini unaambiwa tu maana kuna chance ukapotosha watu wengi kwa kauli moja tu.
 
Ushirikina unaweza kuwepo popote tu mkuu ndio maana watu wanatumia hadi aya za biblia kufanya ushirikina.
Mimi kwenye hili simuongelei Mufti tu na wala haijalishi ni Askofu, Shekh au hata rafiki tu nikiona mtu ana dalili za kishirikina na hasa za waziwazi kama hizi kujivisha mipete mizito napata ukakasi na huyu mtu, hata nyumbani kwangu simkaribishi. Dini imetukataza kabisa shirki sasa siwezi kuongozwa na mtu anayebeba taswira ya shirki.

lakini sababu sijui kazi ya mipete ile wanayovaa hawa viongozi wa dini ndio maana nimeuliza na kama haya mapete ni sehemu ya ibada zetu basi wangekuwa wanahubiri kutuomba na sisi tuvae kama yana faida kwao kwanini yasiwe na faida na kwetu sisi waumini wao. Kuna siri gani mle??
 
haya yoote ungeyaelekeza kwake mufti! kuja humu kutuambia sisi ni majungu ya kiwango cha PhD.. halafu utasema ulikuwa umefunga! hovyo kbs
Mtu anayefunga ni lazima aongee ukweli na akubali ukweli, huyo Mufti wako kasema jambo sio la kisheria msikitini na yule Shekh Othman mwanamme kamkosoa pale pale msikitini na alisema nilitamani nimwambia hapa hapa kabla hajaondoka sasa unafiki umetoka wapi. Sijamzulia mtu uwongo haya mambo yako huko youtube wakiongea wenyewe,
 
Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan.

Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita "Busati" , Mufti alisema siku ya shaka ni 29 Ramadhan kwa maana hujui mwezi umeandama au hapana lakini baada ya kuondoka Shekh wa msikiti akasema kwa heshima tu Mufti ulimi umeteleza kidini imeandikwa siku ya shaka ni 30 sio 29. Bwana jamaa wakapigiwa simu saa 7 usiku watu wameshalala kuwa lazima waombe radhi msikitini kabla swala ya Eid kuanza na wakafanya hivyo.

Kwa maoni yangu Mufti ni kweli aliteleza lakini namuona ni mtu fulani anapenda kutukuzwa sana na yuko busy kupigania kitu kinaitwa mamlaka hata mambo ya mwezi alitumia dakika 15 kulilia mamlaka ya kutangaza mwezi kuwa ni yeye tu, sasa shida yote hii ya nini? yuko busy kutishia watu wanao pingana naye kielimu tu watu wakitaka kutoa matamko kwa kudai mamlaka hiyo ni yake tu lakini kikubwa kuliko yote, mtu ukiwa unashaka na elimu yako hujiamini basi unakuwa muoga kulinda kiti chako lakini kama elimu imejaa basi wala asingetafuta heshima kwa nguvu heshima ingemfuata tu. Mufti umekuwa muoga sana nini unaogopa? au unahisi wako watu nje huko wamekuzidi elimu kwa mbali sana. Mimi naamini kuwa Mufti ni lazima elimu yako iwe juu ya wengine hapo heshima itakuja tu automatic.
ukiruhusu kila muislam awe anaropoka hii itatusumbua huko mbele , vitabu vyao vina madudu mengi sana , acha awepo mmoja mwenye kauli ambapo kupitia tamaa ya madaraka hatakuwa na kauli chochezi .

Hawa waislam si kuwaacha kila kiongoz mdg alopoke ajisikiavyo , weng ni drs 7 so dini imewashika kulika ufaham wa kidunia ,inaeza kuwa htr sana
 
Kwani hujui aliiomba serikali kifaa Cha kutazamia mwezi kama umeandama!
 
Mkuu ameongea haya maneno mbele ya waziri mkuu mwezi huu wa Ramadhan clip iko youtube ameongea zaidi ya dakika 15 kuhusu mamlaka yake. haya ni ya kweli kabisa 100% kaongea.
Weka clip hapa punguza kujieleza
 
Back
Top Bottom