Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Christian God is dead but Allah still remains with his absolute power.
Your Allah is an ugly creature with only one foot and two right hands with no left hand. That is why he can't fight for himself
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan.

Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita "Busati" , Mufti alisema siku ya shaka ni 29 Ramadhan kwa maana hujui mwezi umeandama au hapana lakini baada ya kuondoka Shekh wa msikiti akasema kwa heshima tu Mufti ulimi umeteleza kidini imeandikwa siku ya shaka ni 30 sio 29. Bwana jamaa wakapigiwa simu saa 7 usiku watu wameshalala kuwa lazima waombe radhi msikitini kabla swala ya Eid kuanza na wakafanya hivyo.

Kwa maoni yangu Mufti ni kweli aliteleza lakini namuona ni mtu fulani anapenda kutukuzwa sana na yuko busy kupigania kitu kinaitwa mamlaka hata mambo ya mwezi alitumia dakika 15 kulilia mamlaka ya kutangaza mwezi kuwa ni yeye tu, sasa shida yote hii ya nini? yuko busy kutishia watu wanao pingana naye kielimu tu watu wakitaka kutoa matamko kwa kudai mamlaka hiyo ni yake tu lakini kikubwa kuliko yote, mtu ukiwa unashaka na elimu yako hujiamini basi unakuwa muoga kulinda kiti chako lakini kama elimu imejaa basi wala asingetafuta heshima kwa nguvu heshima ingemfuata tu. Mufti umekuwa muoga sana nini unaogopa? au unahisi wako watu nje huko wamekuzidi elimu kwa mbali sana. Mimi naamini kuwa Mufti ni lazima elimu yako iwe juu ya wengine hapo heshima itakuja tu automatic.
Hujaeleweka vema Mufti kafanya nini
 
Mbona siku ya shaka ni 29, timizeni 30 kama 29 hukuonekana mwezi
 
Mufti gani! hana uwezo wa kuamrisha mema wala kutaza mabyaya.
 
Sheikh Ponda ndio mtetezi wa waislamu Tanzania hiyo bakwata ni tawi la ccm , waliloanzishiwa na mwalimu nyerere baada ya kuhakikisha jumuiya ya waislamu afrika mashariki imevunjika
 
Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan.

Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita "Busati" , Mufti alisema siku ya shaka ni 29 Ramadhan kwa maana hujui mwezi umeandama au hapana lakini baada ya kuondoka Shekh wa msikiti akasema kwa heshima tu Mufti ulimi umeteleza kidini imeandikwa siku ya shaka ni 30 sio 29. Bwana jamaa wakapigiwa simu saa 7 usiku watu wameshalala kuwa lazima waombe radhi msikitini kabla swala ya Eid kuanza na wakafanya hivyo.

Kwa maoni yangu Mufti ni kweli aliteleza lakini namuona ni mtu fulani anapenda kutukuzwa sana na yuko busy kupigania kitu kinaitwa mamlaka hata mambo ya mwezi alitumia dakika 15 kulilia mamlaka ya kutangaza mwezi kuwa ni yeye tu, sasa shida yote hii ya nini? yuko busy kutishia watu wanao pingana naye kielimu tu watu wakitaka kutoa matamko kwa kudai mamlaka hiyo ni yake tu lakini kikubwa kuliko yote, mtu ukiwa unashaka na elimu yako hujiamini basi unakuwa muoga kulinda kiti chako lakini kama elimu imejaa basi wala asingetafuta heshima kwa nguvu heshima ingemfuata tu. Mufti umekuwa muoga sana nini unaogopa? au unahisi wako watu nje huko wamekuzidi elimu kwa mbali sana. Mimi naamini kuwa Mufti ni lazima elimu yako iwe juu ya wengine hapo heshima itakuja tu automatic.
mambo ya waislamu waachie waislamu mkuu, kesho twende kazini
 
Baba Mwajuma, nimeona clip zote Shekh aliyemkosoa Mufti na Shekh Othmana wa msikiti wa Mtoro na yule Shekh Abbas aliunga mkono sasa usiseme mtu yoyote alimpinga hapana ni Shekh wa msikiti wa Mtoro. Na wamesema pale wameambiwa usiku saa 7 waombe msamaha na msamaha uwe kabla ya swala ya Eid na haya sio maneno yangu yapo you tube sio mimi nasema.
Eka clip maana nilikuwepo wakati hao jamaa wanaongea, na wametoa ufafanuzi, mwisho Sheikh wa mtoro yeye kama yeye akatoa ushauri tunapoongea na watu wakubwa tuwe na staha, ila sijasikia popote kwamba Mufti aliwaamsha sababu ya kutaka kuombwa msamaha.
 
Kwanini uislamu uogopwe?
Kasome Historia ya hii Nchi mkuu, kuanzia kutafuta Uhuru hadi hao walio tafuta uhuru kupigwa Pini. Hata kabla ya ujamaa na Azimio la Arusha, Tayari East Africa Muslim walfare ilibomolewa na kulazimishwa kutengenezwa Bakwata, wakachukuliwa Masheikh wa Tamta Tanga huko wakapewa Mali zote za waisilamu waendeshe wao na wale ambao walikua wasimamizi wa Mwanzo kukandamizwa, kufukuzwa nchini na kupewa Mateso na kesi kibao. EAMW walikuwa na Mali nyingi mno Hapa Dsm na ilikua Chini ya Aga khan kama sijakosea, Mohammed Said anaijua vizuri hii Historia.

So Bakwata ni CCM ya waisilamu, ni Chombo ambacho kipo kama danganya toto, wanapewa Vitu vyote vinavyohusu waisilamu kufaidisha matumbo yao na hawana time na maendeleo yoyote ya waisilamu. Kila sehemu unakuta migogoro Mali za waisilamu za wakfu zimeuzwa na wao wamo kupata migawo.
 
Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan.

Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita "Busati" , Mufti alisema siku ya shaka ni 29 Ramadhan kwa maana hujui mwezi umeandama au hapana lakini baada ya kuondoka Shekh wa msikiti akasema kwa heshima tu Mufti ulimi umeteleza kidini imeandikwa siku ya shaka ni 30 sio 29. Bwana jamaa wakapigiwa simu saa 7 usiku watu wameshalala kuwa lazima waombe radhi msikitini kabla swala ya Eid kuanza na wakafanya hivyo.

Kwa maoni yangu Mufti ni kweli aliteleza lakini namuona ni mtu fulani anapenda kutukuzwa sana na yuko busy kupigania kitu kinaitwa mamlaka hata mambo ya mwezi alitumia dakika 15 kulilia mamlaka ya kutangaza mwezi kuwa ni yeye tu, sasa shida yote hii ya nini? yuko busy kutishia watu wanao pingana naye kielimu tu watu wakitaka kutoa matamko kwa kudai mamlaka hiyo ni yake tu lakini kikubwa kuliko yote, mtu ukiwa unashaka na elimu yako hujiamini basi unakuwa muoga kulinda kiti chako lakini kama elimu imejaa basi wala asingetafuta heshima kwa nguvu heshima ingemfuata tu. Mufti umekuwa muoga sana nini unaogopa? au unahisi wako watu nje huko wamekuzidi elimu kwa mbali sana. Mimi naamini kuwa Mufti ni lazima elimu yako iwe juu ya wengine hapo heshima itakuja tu automatic.
Kwa hiyo umekuja kutushtakia Ili iweje, tukampige mufti au?
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Ndio tumeshindwa hata kuomba kesho ijumaa iwe mapumziko?
 
Bakwata siyo taasisi ya Kiislam ni ya baadhi ya Waislam.
images (1) (7) (1).jpeg
 
Ila wanachafua dini tunaonekana vituko tu sababu ya hawa watu. Kugombani mamlaka na mwezi basi ndio kazi yao. Narudia tena ile mipete mikubwa kazi zake ni nini? sio hawa wanaamini Allah pekee? au na majini pia.
 
Back
Top Bottom