Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Watu wa bida'a wanapenda kutukuzwa sana aliemkosoa ni nani? Yule muongoza kipindi anaeitwa Abas au nani,?
 
Waache wenye mwezi wapambane na mwezi wao

Waache wenye jiwe wazunguke jiwe lao

Sisi tunaomcha Mungu wa Kweli tuendelee bila kuchoka
Una mcha mungu aliekufa kabla ya aliewaumba?
 
Hakujazungumzwa lolote kuhusu mamlaka ya mwezi, are you sure una information sahihi mkuu?
Mkuu ameongea haya maneno mbele ya waziri mkuu mwezi huu wa Ramadhan clip iko youtube ameongea zaidi ya dakika 15 kuhusu mamlaka yake. haya ni ya kweli kabisa 100% kaongea.
 
Nasema Hivi Msituvuruge Leo Idd Pili Tunaendelea Kusuuza Koo
Akosee Apatie Idd Mubarak Tayari Tunangoja Sita Jambo Liishe
 
Siku ya shaka ni 29.

Ukitimiza 30 ni lazima ufungue kwa sababu hakuna Ramadan ya siku 31.

Sunni walianza kutazama mwezi siku ya J3 ambapo ilikuwa siku ya 29 kwao sababu waliwahi kuanza kufunga. Bakwata hawakuwa na uhalali wa kuanza kutafuta mwezi siku hiyo maana wao walikuwa wana siku 28 za Funga na hamna funga yenye siku 28( ni siku 29 au 30 ).

Sunni waliukosa mwezi siku hiyo ya J3 wakaamua kukamilisha siku 30 za Funga na J5 ikawa ni siku ya Eid kwa lazima kwao hata kama mwezi usingeandama. Bahati nzuri mwezi ukaandama Duniani kote na Bakwata wakawa hawana kipingamizi, wakati huo washatimiza siku 29 za Funga na wanaruhusiwa kufungua, ndipo walipofungua.
Hakuna uislam unaoitwa bakwata waislam wa Tz asilimia kubwa wote ni Sunni
 
Watu wa bida'a wanapenda kutukuzwa sana aliemkosoa ni nani? Yule muongoza kipindi anaeitwa Abas au nani,?
Hapana nimeona anaitwa Shekh Othman, yule muongoza kipindi alikuwa ana support ila clip ya kuomba msamaha kamruka mwenzake kasema mwenzetu alikosea yeye kajitoa.
 
Hakuna uislam unaoitwa bakwata waislam wa Tz asilimia kubwa wote ni Sunni
Nafahamu sana hilo, hapo nimetaja wakala wa Gavo anayesikilizwa na ndio huleta tofauti kila mwandamo wa mwezi unapofika
 
Huyo mleta mada hata hajui kinachozungumzwa kasikia sikia tu, na yeye kaongeza yake Kaleta.

Siku ya Eid mtoro walitolea ufafanuzi kuhusu Darsa ya Ramadan 29 ambapo kulikua na mtu alipingana na Mufti kuhusu Siku ya shaka Mufti alisema 29 na huyo jamaa alisema 30 that's it, sio mtaalam wa kilichozungumzwa ila Mufti alipiga simu kwa mshauri wake na Imamu wa mtoro saa 7 usiku wakajadili na kesho yake (siku ya Eid) mshauri wa Mufti akaja kulitolea ufafanuzi,

Hayo mambo ya Mufti kulazimishwa kuomba msamaha, sijui mwandamo wa mwezi na maneno mengine aliosema mleta mada sijayasikia, source nilikuwepo msikiti wa mtoro swala ya Eid wakati mshauri wa Mufti anaelezea.
Baba Mwajuma, nimeona clip zote Shekh aliyemkosoa Mufti na Shekh Othmana wa msikiti wa Mtoro na yule Shekh Abbas aliunga mkono sasa usiseme mtu yoyote alimpinga hapana ni Shekh wa msikiti wa Mtoro. Na wamesema pale wameambiwa usiku saa 7 waombe msamaha na msamaha uwe kabla ya swala ya Eid na haya sio maneno yangu yapo you tube sio mimi nasema.
 
Acha matusi wewe toa hoja kama unayo basi mambo ya Mbwa koko ya nini? Mimi sifuatilii Bakwata lakini sina sababu ya kuwatukana matusi mepesi kama hayo. Kitu unaona wazi wanafanya mbele yako kosoa lile unalo ona sio Mbwa Koko, siajabu kukawa na Baba yako au Mama yako anafuata Bakwata sasa sijui tusi ni hilo hilo au....
Hata weww pia ni mbwa fala wewe
 
Our God is trinity.

Your god is black big stone called Kaaba. FULUSI......... FULUSI...,... FULUSI
Christian God is dead but Allah still remains with his absolute power.
 
Hiyo mipete ni ya marangirangi km ya majini???? Hamuwezi maliza mijadala bila kujilinganisha???
Kabisa mimi muislamu 100% kwa maana kizazi chote sisi waislamu lakini shida yangu hawa ma Shekh wetu mapete yana nini? Kama maskofu wanavaa hilo mimi sio shida yangu ile sio dini yangu labda kwao ina maana fulani na wala sitaki kuongelea wengine. Hapa wajibu tu swali hawa ma Shekh mipete mikubwa zaidi 1Kg marangi ya ajabu ni ya nini?
 
Back
Top Bottom