Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!

Nimeicheki video.
Ameongea vema. Nami kidogo nimuhukumu kwa kufuata comments za baadhi ya watu. Mwisho kaweka wazi rai yake kwamba wataalam wetu wazikague vema chanjo na kujiridhisha kabla hazijaachwa zitumike na watu wetu. Hivyo kwa muktadha huo yupo sahihi.
 
Sasa wewe unachobishia ni nini? Hebu chagua hapa:
A. Huo ni msikiti au la?
B. Waziri wa Afya haruhusiwi kuingia msikitini?
C. Shehe kasema uwongo au ukweli?
Unaposema mbele ya waziri kisha unatambua waziri ni wa kike na hapo ni msikitini wanawake wana upande wao na wanaume pia hakuna mikhalafati(michanganyiko) unakusudia nini? Huwezi kuandika mada yako pasina kuandika uongo? Punguza
 
Huu upumbavu wa shehe unazidi kuichafua dini naamini hata watu wa dini wengine hawakubaliani, hivi ni chanjo ngapi zinatoka kwa wazungu hazijawageuza mashoga, kwani huo ushoga wanakuja kukulazimisha au kukushikilia tako si maamuzi yako? IRAN inayagombana na mabeberu lakini kuna ushoga
 
Unaposema mbele ya waziri kisha unatambua waziri ni wa kike na hapo ni msikitini wanawake wana upande wao na wanaume pia hakuna mikhalafati(michanganyiko) unakusudia nini? Huwezi kuandika mada yako pasina kuandika uongo? Punguza
Wanawake na wanaume ni kweli hawachanganyiki. Huoni wakati anamtaja Waziri aligeuka upande wa wanawake alikokuwa ameketi? Kusoma hujui hata picha unashindwa kuona? Acha ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Watakagua kupitia vifaa vya kutoka ofisi za lumumba au nje ya nchi
 
Nyie ndiyo ambao hamjui mifumo ya kuendesha Nchi. Huwa mnafikiri vitu vinaingia nchini bila ya taratibu. Nendeni wizara ya afya mkaone jinsi vitengo vinavyofanya kazi kulinda afya za watanzania. Shame on you
 
Nyie ndiyo ambao hamjui mifumo ya kuendesha Nchi. Huwa mnafikiri vitu vinaingia nchini bila ya taratibu. Nendeni wizara ya afya mkaone jinsi vitengo vinavyofanya kazi kulinda afya za watanzania. Shame on you
Acha kujitoa ufahamu kana kwamba mgeni wa hii nchi wewe nyau. Kwahiyo mtu kutoa rai yake akasisitiza umakini na wahusika kufanya kazi yao vyema kuna ubaya? Ukisikiliza video hapingi chanjo ila amesema wanaomba mkazo wa kuthibitishwa kwa chanjo kutokana na vuguvugu linaloendelea la harakati za ushoga.
 

Uislamu ni dini iliyokuja kuharibu civilization,ndio mana hawataki elimu zaidi ya elimu ya akhera,
 

Dini hii puls ujinga ni ugonjwa mbaya sana wa akili.
 
Kwani wanawake hawaruhusiwi kuingia mskitini mkuu?

Kwenye usilamu mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni najisi kama nguruwe akiwa katika hezi zake,huo ndio uislamu dini ya haki,bila kusahau mwanamke ni chombo cha starehe kuanzia kwa mtume wao kulala na kibint kidogo hadi kwenye brothel ya akher ambapo watapewa mabikra 72,
 
Nakushauri Soma Dini zote mbili uzielewe vizuri
 
Tuanze na tende
 

Ushoga ni tabia
Hakuna homoni ya ushoga.
Mtu anaweza kuamua kuwa Shoga au asiwe. Ni uamuzi na uchaguzi wa MTU.
Ndio maana kuna sheria za kuzuia ushoga.
Sheria zinatungwa Kwa habari za Tabia na sio mambo ya homoni ambayo hapo natural.
 
Mkuu mimi nimeleta maoni ya shehe na aliyatamka mbele ya Waziri wa Afya. Sasa kama angekuwa hayuko sahihi mbona waziri alikaa kimya? Mimi na waziri nani mwenye facts na utaalamu zaidi?
Utaalamu na facts unaweza ukamzidi ila jambo lamsingi kabisa shekhee kuna jambo la msingi analisema asikikizwe na azingatiwe, wazungu wanaharibu vijana huo ndio ukweli na wamedhamiria kweli kweli, so wanaweza fanya lolote, wanajaribu kukontrol population kifala sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…