Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mkuu naona unataka ligi isiyo na maana yoyote. Taarab ni mziki wenye mahadhi ya kiislamu, sasa ww unataka kuniletea habari za qoran inasemaje. Sina muda wa kusubiri unieleze Quran inasemaje kuhusu muziki, lakini uhalisia ndio huo. Sasa hiyo ligi yako mimi sina muda nayo.
Mfano halis mzee yusuph aliacha kuimba taarab akakimbilia kwenye kaswida njaa ika muuma akarudi taarabuni