Quran inasomwa? Kwa nini huisomi Quran kama unavyosoma hii comment yangu?Hebu nitizame mara mbili, unaona sura ya kushika dufu hii? dufu? aliekwambia uislamu umeruhusu wanaume wazima na ndevu zao kukata viuno huku wanapiga madufu hewani ni nani?.
Hawapigi madufu isipokuwa walio makhanithi katika wanaume, kama alivyosema shaykhul islaam ibn taymiyyah allah amrehemu.
Ama Qur'an haiimbwi na ni haramu kuiimba Qur'an, Qur'an inasomwa, una swali lingine?.
Kwa nini unaisoma kwa kuiimba?
Mimi naweza kukuandikia noten za mziki kwa kile mnachokisema kwenye quran...kwa sababu mnakisema kwa kuimba.
Ukishaanza kuweka rhythm/harmony kwenye maneno (kama mnavyofanya kwenye quran) huko tayari ni kuimba.
Au unadhani kuimba mpaka uweke na vinanda na ngoma?
Unajua hata mziki ni nini? Nyie huwa mnaimba, Like it or not.