Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja kwanza nisome commentsUkimaliza kupika uje mkuu
Tatizo kubwa katika nchi hii ni Ujinga. Na huu Ujinga ndio ambao unamfanya mtu aibuke na hoja kama hii bila kuweka ushahidi wa kitaalamu. Huu upumbavu miaka na miaka watu wanaibuka nao. Kuna chanjo za tetekuwanga watu walisema hivi, kuna. Tetenus, kuna polio, kuna pepopunda, kuna TB. Na Wakristo wakianza kuwa wapumbavu hivi sasa Tanzania si itakuwa ya ajabu sana? Of course wapo wapumbavu. Hebu na wewe elimika kidogo. Weka hapa ushahidi kuwa hizo zina hormones za ushoga. Yaani nyie muamue kuwa mashoga msingizie chanjo? Mashoga wapi since 1990s mimi nawafahamu hawakuwahi kuwa hata na TV wala magazeti toka ulaya.Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Kwani wewe unaamini chanjo za Malaria zina "hormone" za ushoga? Angekuja na scientific proof kutoka mahabara angalau alichokuwa akikisimamia kingeeleweka
Waziri alikuwa na hikma sana…hakutaka kubishana naye angezua fujo maana anatujua waislam ni wabishi na wapenda fujoMkuu mimi nimeleta maoni ya shehe na aliyatamka mbele ya Waziri wa Afya. Sasa kama angekuwa hayuko sahihi mbona waziri alikaa kimya? Mimi na waziri nani mwenye facts na utaalamu zaidi?
Mkuu ulimsikiliza vizuri Catherine Kahabi alipotoa ushahidi mbele ya Mwakeyembe au unasema tu? Hutaki watu wachukue tahadhari ili wawe mashoga kwa manufaa ya nani?Tatizo kubwa katika nchi hii ni Ujinga. Na huu Ujinga ndio ambao unamfanya mtu aibuke na hoja kama hii bila kuweka ushahidi wa kitaalamu. Huu upumbavu miaka na miaka watu wanaibuka nao. Kuna chanjo za tetekuwanga watu walisema hivi, kuna. Tetenus, kuna polio, kuna pepopunda, kuna TB. Na Wakristo wakianza kuwa wapumbavu hivi sasa Tanzania si itakuwa ya ajabu sana? Of course wapo wapumbavu. Hebu na wewe elimika kidogo. Weka hapa ushahidi kuwa hizo zina hormones za ushoga. Yaani nyie muamue kuwa mashoga msingizie chanjo? Mashoga wapi since 1990s mimi nawafahamu hawakuwahi kuwa hata na TV wala magazeti toka ulaya.
Waziri siyo mtaalam, ni mwanasiasa.Mkuu mimi nimeleta maoni ya shehe na aliyatamka mbele ya Waziri wa Afya. Sasa kama angekuwa hayuko sahihi mbona waziri alikaa kimya? Mimi na waziri nani mwenye facts na utaalamu zaidi?
Kuna vitu havi hitaji maoni ukienda kutibiwa dakitari hahitaji maoni waache wataalamu wafanye kazi zao mbona wao hawaingiliwi kwenye mambo ya Iman?Mkuu huyu shehe ametoa maoni na msimamo wake (na waislamu wenzake). Maoni sio utafiti wala hitimisho; na ametoa angalizo pia (hebu msikilize vizuri).
Upumbavu mwingi sana. Je wakiweka kwenye dawa zingine kama ndo hivyo? Inabidi labda kuiambia serikali ifanye analysis kabla ya kuwapa watu ila kupinga bila scientific proof ni ujinga na ndiyo maana kuna watu huwa wanatuona manyani bado. Kutengeneza chanjo hatuwezi ila madomo domo!Tunahitaji viongozi wa imani wenye misimamo kama hawa.
Ila tunatakiwa kusaidiana nao kuhakikisha wanayoyasema yahakikiwa na kufanyiwa kazi
Yaani hizo hormones za uenda hizo...waziweke kwenye chanjo alafu kwenye maji, mafuta, soda, juice, nguo, tv, magari, fridge, ac, magodoro, na mengine tunayopenda kukimbilia kununua kutoka kwao wasiweke!Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.
View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.
MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.
Pia soma:
https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Ujue hii nchi wajinga wanajiona wanajua masuala yote ya kila fani, kada na medani zote!Kuna vitu havi hitaji maoni ukienda kutibiwa dakitari hahitaji maoni waache wataalamu wafanye kazi zao mbona wao hawaingiliwi kwenye mambo ya Iman?