Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!

U
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.

View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.

MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.

Pia soma:

https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Ustadhi aweke namba ya mpesa tumtunze
 
waziri wa afya ni mwanamke, hawezi kuingia msikitini upande wa wanaume.
Mleta mada hebu cheki tena facts zako
Hapo hapakuwa msikitini mkuu.....ilikuwa ni mhadhara wa nje. Hata msikitini wanawake huingia pia lakini hukaa mbali na wanaume......hawachanganyiki......ndio maana kwenye hiyo video unawaona wanaume tu. Wanawake wamekaa upande wa kushoto.
 
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.

View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.

MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.

Pia soma:

https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Kumbe Covid 19 alichanja basi na hii atachanjwa
 
Ubaya ni kuwa kuna watu wanaweza kuwa wanamuunga mkono alafu wapo katika yale magroup ya mambo pwani. Suala hili ukiacha tu kuunga mkono hoja ni lazima watu wajitoe kwelikweli katika kutenda yaliyo mema na kutooneana huruma.. Kesi zimalizwe sehemu sahihi na walaji waache hii tabia

Inanishangaza kidogo, kama wanatupa homoni za kuwa mashoga hao mabasha wanapata wapi homoni za kula haramu.? Tunapaswa kuzifikiria tabia zetu zaidi ya kuhofu chanjo zao.
 
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.

View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.

MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.

Pia soma:

https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546
Kwanza sijamuona waziri wa afya kwenye hiyo clip. Pili ushoga upo tu kabla hata ya chanjo ya malaria haikakuwa introduced. Mbona Zanzibar nchi yenye Waislamu wengi ndiyo ina vijana wengi wanashikishwa ukuta?

Halafu waweza kuta huyo Sheikh mwenyewe ni basha na ana msenge wake kampangia chumba
 
Mkuu ulimsikiliza vizuri Catherine Kahabi alipotoa ushahidi mbele ya Mwakeyembe au unasema tu? Hutaki watu wachukue tahadhari ili wawe mashoga kwa manufaa ya nani?
Tunataka ushahidi wa kitaalamu haya mambo nyie waswahili huwa mnayaendesha kienyeji sana. Kama kipindi kile cha free mason. Na miaka ile ya mumiani. Wewe sidhani kama ulikuwa umezaliwa. Haya mambo umaamuma pia ni tatizo.
 
Tunahitaji viongozi wa imani wenye misimamo kama hawa.
Ila tunatakiwa kusaidiana nao kuhakikisha wanayoyasema yahakikiwa na kufanyiwa kazi
... hakuna watu walipiga chanjo ya polio kama kule Pakistan enzi zile. Taifa zima lilipogeuka mapooza tupu waliomba poo wenyewe. Huyu naye yuko kizani kukipambazuka ataelewa tu.
 
Umeandika nini!?
Waliopiga chanjo waligeuka mapooza!?
 
Soma kwa makini utaelewa. Nitoe mfano mwingine; wapo waliopingana na ukweli wa covid; watu walipoanza kupukutika walielewa somo la covid. Kenge hasikii hadi zimtoke damu!

Kumbe kupiga ulimaanisha kupinga🙄
 
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu wenzake waliohudhuria mhadhara huo. Waziri alikaa kimya bila kujibu chochote akiashiria kuwa amekubaliana na maoni ya shehe.

View attachment 2622866
Kitendo cha shehe huyo kukataa chanjo kinatokana na kushamiri vitendo vya kishoga siku za hivi karibuni ambapo mwanaharakati aitwaye Catherine Kahabi alizitaja hadharani taasisi zinazofadhili vitendo vya kishoga hapa nchini.

MAONI YANGU
Nawakubali sana waislamu kwa misimamo yao isiyoyumba, hasa pale unapotaka kuwachomea jambo au hoja kengeufu. Kama wakristo wangekuwa na misimamo isiyoyumba kama hii ya waislamu, nchi hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Tatizo wakristo ni wapole sana. Mambo yanapokuwa magumu utawasikia wakisema: “Tunamuachia Mungu”. Waislamu hawana ujinga huo. Wakiamua kuwasha moto wanawasha kweli kweli bila kurudi nyuma mpaka kieleweke. Hapa ndipo waislamu na wakristo wanapotofautiana katika mambo ya muhimu na msingi katika ujenzi wa taifa letu tukufu.

Pia soma:

https://www.bbc.com/swahili/habari-58843546

Ni vema angekuja na proof ya kimaabara kwamba kweli kuna shida, instead of ku rely kwenye story za kusadikika na fununu
 
Back
Top Bottom