Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Akamuulize yule alikua anajiita ilunga.....
Niishie hapa kwa leo, kesho shule
Niishie hapa kwa leo, kesho shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake nini? Shekhe anaongea Urojo halafu anatunzwa.☹️huenda imechanganywa na homoni za ushoga
Mkuu taarab si mirindimo ya kiislamu, hapo unashangaa nini?Haya mambo asili yake sio uislamu ni kutafuta masifa yasiyokuwa na ulazima sasa hapo wanaenda kumtuza kwa point ipi aliyoongea? halafu tangu lini sisi waislamu tumeanza kuiga iga mambo ya ajabu kama haya, haya mambo ya kutuzana kwenye kofia si huwa kwenye taarabu huko?.
Kwahyo mkuu nimekuwa aina ya matunda.Papai wewe
Mirindimo ya kiislamu kuanzia mwaka gani mkuu? uislamu umeharamisha mziki kwa aina zake zote.Mkuu taarab si mirindimo ya kiislamu, hapo unashangaa nini?
Narudia tena, taarab ni muziki wenye haiba za kiislamu zaidi, hilo huweza kukwepa hata kama halikufurahishi. Sipingi uislamu wa kitabuni unasema nini, lakini habari ndio hiyo.Mirindimo ya kiislamu kuanzia mwaka gani mkuu? uislamu umeharamisha mziki kwa aina zake zote.
Una ushahidi kutetea hoja yako? sio kila kitu ugeuze chadema na ccm mkuu sisi wengine siasa hazituhusu.Narudia tena, taarab ni muziki wenye haiba za kiislamu zaidi, hilo huweza kukwepa hata kama halikufurahishi. Sipingi uislamu wa kitabuni unasema nini, lakini habari ndio hiyo.
Una ushahidi kutetea hoja yako? sio kila kitu ugeuze chadema na ccm mkuu sisi wengine siasa hazituhusu.
Mziki ni nini?Mirindimo ya kiislamu kuanzia mwaka gani mkuu? uislamu umeharamisha mziki kwa aina zake zote.
Umeniona? mimi nimeitwa na mada kuhusishwa na uislamu tu.Siasa hazikuhusu kisha unashinda kwenye jukwaa la siasa?🙆
Basi umejichanganya huku boss, kwa maneno ya watoto wa mjini ni kuwa umeingia choo cha kike.Umeniona? mimi nimeitwa na mada kuhusishwa na uislamu tu.
Hebu nitizame mara mbili, unaona sura ya kushika dufu hii? dufu? aliekwambia uislamu umeruhusu wanaume wazima na ndevu zao kukata viuno huku wanapiga madufu hewani ni nani?.Mziki ni nini?
Zile aya mnatamkaga kwa kuimba-imba sio mziki? Au unafikiri mziki ni mpaka kiwe na magitaa na vinanda?
Na uislam Umeharamishaje wakati mnapiga Madufu? Au madufu sio mziki ule?
Ndio namna ya kukimbia hoja sio, umeshindwa kuhusisha uislamu na taarabu unaleta mambo yasiyohusiana.Basi umejichanganya huku boss, kwa maneno ya watoto wa mjini ni kuwa umeingia choo cha kike.