Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hapo ni ndani ya msikiti wa Manyema, napajua vizuri sana. Na huyo ni imamu wa msikiti huo. Na hii clip naijua.Hapo hapakuwa msikitini mkuu.....ilikuwa ni mhadhara wa nje. Hata msikitini wanawake huingia pia lakini hukaa mbali na wanaume......hawachanganyiki......ndio maana kwenye hiyo video unawaona wanaume tu. Wanawake wamekaa upande wa kushoto.