TANZIA Shekhe Basaleh Afariki Dunia. Aliitetea vyema imani akiwa mwanzuoni

Pole nyingi kwa familia. M/Mungu awavushe salama kipindi hiki kigumu.
 
Waman hayata d'unia, illa mataha l'ghurul (hakuna maisha duniani isipokua ni starehe fupi zenye kudanganya). Allah ampe kauli thabit inshallah [emoji120]
 
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 

Inna lillah wa inna ilayhi raaji'uun

 
Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia jana Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani

Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni jana baada ya kulazwa kwa takribani wiki mbili na nusu akipatiwa matibabu hayo.Amesema mazishi ya baba yake yatafanyika leo saa 7 mchana katika makaburi ya Kisutu.

"Leo baba amefariki dunia si muda mrefu kesho(ambayo ni Leo) tutakwenda kumpumzisha baada ya swala ya Adhuhuri," amesema Abdullatif.

Credit to gazeti la mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…