jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina la Bwana libarikiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuuliza nani?Kuvaa hijab kulisaidia Nini katika kukuza elimu ya watoto wa kike wa kiislam
Lengo halikuwa kukuza elimu.Kuvaa hijab kulisaidia Nini katika kukuza elimu ya watoto wa kike wa kiislam
Lengo lilikuwa ni lipi? Achana na petty ißues katika dunia.Lengo halikuwa kukuza elimu.
Kwani mkuu kila chenye kufanyika shuleni kinahusu kukuza elimu? Shuleni kunafundishwa hadi nidhamu na usafi, suala la hijabu ni suala la kiimani kitu ambacho kinaweza kuwa sio muhimu kwako ila muhimu ni kuheshimu na kuvumiliana tunaishi kwa kutofautiana imani na mitazamo.Lengo lilikuwa ni lipi? Achana na petty ißues katika dunia.
Ila silaha za kutumia hao magaidi bado zinatengenezwa na kuuzwa kutoka kwa wasio magaidi.Magaidi yanapungua. Alazwe anapo stahiki
Shuleni tunakwenda kujifunza issue that can not be attained at home! Usafi, nidhamu vyote vinaweza kufanyika nyumbani bila formal schooling, but chemistry, physics, biology, "advanced" maths and the like not at home.Kwani mkuu kila chenye kufanyika shuleni kinahusu kukuza elimu? Shuleni kunafundishwa hadi nidhamu na usafi, suala la hijabu ni suala la kiimani kitu ambacho kinaweza kuwa sio muhimu kwako ila muhimu ni kuheshimu na kuvumiliana tunaishi kwa kutofautiana imani na mitazamo.
Hivyo sioni sababu ya wewe kuwa na ghadhabu labda kama itakuwa hijabu hushusha kiwango cha elimu cha wanafunzi wa kike.
Hata huo usafi na nidhamu wa kujifunzia nyumbani bado tutahitaji kuuona kivitendo kwenye jamii ikiwemo huko mashuleni, hivyo kuvaa hijabu halikuwa suala la kuhusu elimu hadi uulize limekuza vp elimu.Shuleni tunakwenda kujifunza issue that can not be attained at home! Usafi, nidhamu vyote vinaweza kufanyika nyumbani bila formal schooling, but chemistry, physics, biology, "advanced" maths and the like not at home.
Nakumbuka rafiki yangu mkubwa Muislamu alisherehekea sana hilo na swali langu lilikuwa hilo hilo.... alilijibu kama ulivyojibu!
Kuzuia vazi la Hijabu viliboreshaje Elinu ya Mtoto wa Kike wakati huo?Kuvaa hijab kulisaidia Nini katika kukuza elimu ya watoto wa kike wa kiislam
Hakuwa MnafikiHuyu Shehe alikuwa na itikadi kali sana,aende anakostahili!Amen
Pengo nae huwa anavaa Kanzu au umesahau?Unamaanisha Pengo mtu mwerevu mbinguni na Duniani na huyo kibaka aliyezeeka? Mwanazuoni aliyewafunza kula ubwabwa na kuvaa magauni bila boxer mnayaita kanzu.?
Shule za kata zimeharibu ubongo wako ndio sababu unahisi masuala ya usafi, nidhamu n.k hayafundishwi shuleShuleni tunakwenda kujifunza issue that can not be attained at home! Usafi, nidhamu vyote vinaweza kufanyika nyumbani bila formal schooling, but chemistry, physics, biology, "advanced" maths and the like not at home.
Nakumbuka rafiki yangu mkubwa Muislamu alisherehekea sana hilo na swali langu lilikuwa hilo hilo.... alilijibu kama ulivyojibu!
Alikuwa na elimu gani,tunaweza pata cv yake?Hakuwa Mnafiki
Alimchana za uso wazi wazi Hayati Benjamin Mkapa alipopewa fursa ya kuzungumza nae 2004 wakati wa Hafla ya uzinduzi wa Chuo kikuu cha Waislam Morogoro kwny Ukumbi wa Diamond jubilee
tena akujua Mkapa ni Mtu wa Riwaya nae akatumia Riwaya za Shaaban Robert kutengeneza hoja baadae akamsagia live live hadi waliompa kipaza sauti walitamani kumpora
Pengine hakuna Mtanzania mwingine kishawahi hili zaid yake
Mungu ampokee Mwanazuoni mahiri