TANZIA Shekhe Basaleh Afariki Dunia. Aliitetea vyema imani akiwa mwanzuoni

Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani.

Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani wiki mbili na nusu akipatiwa matibabu hayo. Amesema mazishi ya baba yake yatafanyika kesho saa 7 mchana katika makaburi ya Kisutu.

"Leo baba amefariki dunia si muda mrefu kesho tutakwenda kumpumzisha baada ya swala ya Adhuhuri," amesema Abdullatif.

Rafiki wa karibu wa Basaleh, Sheikh Issa Ponda ameliambia Mwananchi kuwa mwanazuoni huyo alikuwa amebobea katika masuala ya dini na kijamii. Amesema Sheikh Basaleh amewahi kuwa mwalimu wa shule za sekondari Unguja.

"Aliwahi kuwa mhadhiri mkubwa wa Kiislamu, baada ya kufariki Sheikh Abood Maalim yeye ndiye alibaki akiongoza mihadhara linganishi yaani hoja tofauti za itikadi mbalimbali. Atakumbukwa zaidi namna alivyopigania watoto wa kike kuvaa hijabu shuleni na Rais wa wakati huo (Ali Hassan Mwinyi), akaridhia.

" Haikuwa kazi ya kufanikiwa katika hili kwasababu alipata misukosuko kwa sababu yalifanyika maandamano aliyoyaongoza. Alikamatwa na polisi na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili, lakini mwisho wa siku vazi liliruhusiwa," amesema Sheikh Ponda.

Kwa mujibu Sheikh Ponda, Basaleh amezaliwa mwaka 1947 mjini Unguja amesomea Zanzibar na kufanya kazi ya ualimu akifundisha masomo ya Kiingereza na Kiarabu.

Chanzo: Mwananchi
Unaposema alitetea sana dini, he sekuelewi inamaana kuna watu walikuwa wanaipinga hiyo dini yake?
 
Ndio mwalimu wa waislamu na sheikh Mwaipopo? Ndio alikuwa akifundisha kuwa bandari iuzwe kwa warabu ni ndugu zao? Ndio alifundisha kuteua Wazanzibar na kubagua wabara? Alale mahali anapostahili. RIP mwanazuoni

إذا لم يقبل يسوع المسيح ، فسيواجه موقفًا صعبًا للغاية
 
Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani.

Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani wiki mbili na nusu akipatiwa matibabu hayo. Amesema mazishi ya baba yake yatafanyika kesho saa 7 mchana katika makaburi ya Kisutu.

"Leo baba amefariki dunia si muda mrefu kesho tutakwenda kumpumzisha baada ya swala ya Adhuhuri," amesema Abdullatif.

Rafiki wa karibu wa Basaleh, Sheikh Issa Ponda ameliambia Mwananchi kuwa mwanazuoni huyo alikuwa amebobea katika masuala ya dini na kijamii. Amesema Sheikh Basaleh amewahi kuwa mwalimu wa shule za sekondari Unguja.

"Aliwahi kuwa mhadhiri mkubwa wa Kiislamu, baada ya kufariki Sheikh Abood Maalim yeye ndiye alibaki akiongoza mihadhara linganishi yaani hoja tofauti za itikadi mbalimbali. Atakumbukwa zaidi namna alivyopigania watoto wa kike kuvaa hijabu shuleni na Rais wa wakati huo (Ali Hassan Mwinyi), akaridhia.

" Haikuwa kazi ya kufanikiwa katika hili kwasababu alipata misukosuko kwa sababu yalifanyika maandamano aliyoyaongoza. Alikamatwa na polisi na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili, lakini mwisho wa siku vazi liliruhusiwa," amesema Sheikh Ponda.

Kwa mujibu Sheikh Ponda, Basaleh amezaliwa mwaka 1947 mjini Unguja amesomea Zanzibar na kufanya kazi ya ualimu akifundisha masomo ya Kiingereza na Kiarabu.

Chanzo: Mwananchi
Pumzika kwa Amani sheikh
 
Pole kwa wafiwa wote.
 
aliwahi kumpa za uso rais mkapa na yeye yupo nae katika uzinduzi wa chuo cha waislamu morogoro alimpaka kwelikweli na pia tajiri mengi alijifanya mjuaji alikuta na ba saleh mengi akasema atampeleka mahakamani ba saleh akamwambia nakusubiri huko huko kama utanishida mengi alisarenda
 
Una clip?
 
Back
Top Bottom