Shekhe Mwaipopo acha utawafanya hao vijana waje waozee magerezani, wewe ni mfungwa mtarajiwa

Shekhe Mwaipopo acha utawafanya hao vijana waje waozee magerezani, wewe ni mfungwa mtarajiwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi

Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais ambaye anataka kujisafisha Kisha mfumo ukaanza kutoka watu sadaka waliohusika na kuua watu vijana wale tutawapoteza

Kama Kuna mtu anandugu zake kwa wale vijana nashauri akawakanye

Mpaka mda huu mwaipopo ni mfungwa mtarajiwa

Nimemaliza

LONDON BOY
 
1782154740607.png
 
Wanatumika na hawajielewi kama wanatumika
 
Back
Top Bottom