johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂 Duh.....!Yuko sahihi kabisa
Tuvunje huu Muungano..
Tuondoe majungu na matusi yasiyo na ulazima
Sheikh Ponda yuko sahihi. Muungano umekaa kimtego mtego, full majungu, fitna na uzandikiShekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
Muungano haufai, ona sasa wizi wa rasilimali za watanganyika unaosimamiwa na wazanzibariShekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take; Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
😂😂😂Sheikh wangu bhana huyo tunasubiri tu muongozo wake ili tuyanoe majambia.
Umeme watanunua kutoka kwetu hatutawakatia,tutawauziaTukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Upeo wako mdogo..Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Zanzibar inaidai Tanganyika zaidi ya tril 3 za mikopo,misaada mzeeHasara za muungano tumeshaanza kuziona wazanzibar kila mwaka wanasamehewa deni la umeme hivi tunajenga jamii ya watu gani
Washaingia mkataba kuzalisha wao ili waachane na WA baraUmeme watanunua kutoka kwetu hatutawakatia,tutawauzia
Kama kuna majambia ya keyboard,,, viongozi wanafanya haya sababu wanajua wanaongoza raia wa aina ganiSheikh wangu bhana huyo tunasubiri tu muongozo wake ili tuyanoe majambia.
Muarobaini wa hizi kero za muungano ni kuuvunja tu,ni viongozi wa CCM tu ndiyo wanautaka lakini kama ingepigwa kura 'huru' ya maoni zaidi ya 99% ya Watanzania wangeukataa.Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take; Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
Iliiikopesha?Zanzibar inaidai Tanganyika zaidi ya tril 3 za mikopo,misaada mzee