Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Kuna watu watalia nyie acheni tu.

Tanganyika ni ngombe wa maziwa asiye na mmiliki kila mtu anajipigia tu.
Na hao kila siku wanatutukana sisi Watanganyika wakidai tunawanyonya. Uvunjwe huu muungano na tunawafukuza warudi kwao tuone kama watabeba haya majumba yao. Hakuna Mtanganyika mwenye mali isiyohamishika huko visiwani. Tumechoka matusi na dharau zao. Majuzi tu wamesamehewa deni la umeme bilioni 65.
 
Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Tatizo hawana adabu na ndiyo wao wanaanza chokochoko sasa bora tukate mzizi wa fitna yeshe.
 
Shekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take; Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
Naunga mkono hoja ✍️✍️
Muungano una manufaa kwa Zenji tuu
 
Wanaoutetea huu Muungano ni CCM tu na Jumuia zake kwasababu wao ndio waliotuunganisha bila kura ya maoni.
 
Kati ya vitu ambavyo ninamuomba Mwenyezi Mungu kunipa haki ya kuvishuhudia hapa nchini;
1. Anguko la ccm.
2. Kuvunjika kwa huu Muungano wa changu changu, chako changu.
Mungu ni hakimu wa haki naamini haja ya moyo wako na Watanganyika wote itatimia kipindi hiki,dalili zote zimeshaonekana. Sakata la bandari ni blessings in disguise.
 
Huu muungano tukitaka usiwe na kelele then tufute mambo ya kushare eneo la rasilimali, eneo la fedha, eneo ajira na uongozi. Tubakie tu kuwa majirani kama tulivyo na Kenya.

Maana hawa wenzetu wanajiona wapo so important na wanahitaji sana kuwa privileged kuwa top most citizens pumbavu sana.
 
Upeo wako mdogo..
Kama wananunua chakula Bara wanaweza nunua Kenya au Uganda au Pengine..
Kwanza aliekwambia kuvunja Muungano ni kuvunja biashara nani??
Then tutauzia kenya halafu kenya watawauzia wao.
 
Sheikh Ponda anastahili pongezi,namsubiri na Askofu Mwamakula nisikie rai yake kwenye sakata hili la Bandari.
Hii miungano bandia na ya kulazimishana, kamwe hauwezi kudumu milele. Tutaendelea kulazimisha kwa muda tu, lakini kuna siku utavunjika tu.

Urusi pamoja na nguvu zote za kijeshi walishindwa kuilinda USSR.
 
Back
Top Bottom