Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Shekhe Ponda amesema:

Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa

=========

View attachment 2656035
Namuunga mkono
 
Hatuwezi kurudi kama zaidi sheikh kwa sababu Lukuvi na wagalatia wenzie wanaona Uislam utapata nguvu.
 
Watanganyika wanavyoopenda na kuung'ang'ania huu muungano ukiuhoji tu hawachelewi kukupoteza
 
Back
Top Bottom