Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
KabisaSasa watanganyika wameamka vunja muungano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaSasa watanganyika wameamka vunja muungano
Namuunga mkonoShekhe Ponda amesema:
Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji
Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter
My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa
=========
View attachment 2656035
Nadhani hivi vitu vitaendana kwa pamoja, yani kimoja kitamsababisha mwenzakeKati ya vitu ambavyo ninamuomba Mwenyezi Mungu kunipa haki ya kuvishuhudia hapa nchini;
1. Anguko la ccm.
2. Kuvunjika kwa huu Muungano wa changu changu, chako changu.
Mpate mabikra 72Sheikh wangu bhana huyo, tunasubiri tu muongozo wake ili tuyanoe majambia.
Bila Viagra sijui nitawawezaje Mwanaume wa Dar.Mpate mabikra 72
Hatuwezi kurudi kama zaidi sheikh kwa sababu Lukuvi na wagalatia wenzie wanaona Uislam utapata nguvu.Shekhe Ponda amesema: