Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Mikopo, wana uwezo wa kuilipa? Zanzibar ina deni kubwa sana kwa Tabganyika,buwa wanaamua tu kuweka siri.

Pesa yote inayokopwa na JMT, sehemu inayopelekwa Zanzibar, haijawahi kulipwa hata mara moja.
Kwani si tunaweza kuwafutia deni lao? hakuna mtu kutoka bara mwenye akili timamu anataka huu muungano fake
 
Shekhe Ponda amesema:

Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa

=========

View attachment 2656035
Huyu mzee yupo sahihi.., bora waliokuwa wanapendekeza serikali 3 ili mali za Tanganyika zibaki na kusimamiwa na watanganyika wenyewe, na Mali za Zanzibar zibaki nakusimamiwa nawazanzibari wenyewe., maana hii Muungano ni sanaa tu hakuna lolote wanufaika wakubwa ni hawa hawa wanaojiita WATAWALA.
 
Shekhe Ponda amesema:

Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji

Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter

My take: Shekhe Ponda badala ya Kujenga anataka Kubomoa

=========

View attachment 2656035
Mungu mbariki Shehe Ponda
 
Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Uvunjike tu aisee kwa kuwa ukiwasikilkz ww zanzibar huwa wwnaanini umeskin wao unatokana na sisi ,tuwape nchi yao yenye watu wasiozid 1.6m tuone kama watatoboa
 
Na hao kila siku wanatutukana sisi Watanganyika wakidai tunawanyonya. Uvunjwe huu muungano na tunawafukuza warudi kwao tuone kama watabeba haya majumba yao. Hakuna Mtanganyika mwenye mali isiyohamishika huko visiwani. Tumechoka matusi na dharau zao. Majuzi tu wamesamehewa deni la umeme bilioni 65.
Napende uvunjike saa100 audio kwao .hala tuone kama watatoboa
 
Natangaza rasmi kuwa kuwa kiongozi wangu wa Kiroho kuanzia leo atakuwa ni Sheikh Ponda Issa Ponda na sio tena Mufti Zuberi.
 
Uvunjike tu aisee kwa kuwa ukiwasikilkz ww zanzibar huwa wwnaanini umeskin wao unatokana na sisi ,tuwape nchi yao yenye watu wasiozid 1.6m tuone kama watatoboa
Nimeishi na kufanya mishe zenji, watauana sana wenyewe kwa wenyewe maana njaa nanuhaba mkubwa utajitokeza. Wapingaji na wanaopiga kelele wengi hakuna wanachokijua
 
Tukiuvunja huu muungano tutawatesa sana ndugu zetu wazanzibari ni heri tuwape muda wajipange kwanza.
Ukisema uvunje ghafla maana yake itabidi umeme nao ukatwe kwa ghafla hili moja.
Pili bado hawana jeshi la ulinzi
Tatu wajifunze kwanza kulima
Ndugu yangu ponda tulia kwanzaa
Unakusudia kabla ya ( uvamizi wa Tanganyika) ZANZIBAR ilikua gizani?
Tatizo machogo hamsomi ZANZIBAR ktk historia ilikua na taa za barabarani kabla ya baadhi ya Miji ndan ya England na kumbukumbu juu ya hayo zipo
 
Hapa hatuzungumzii habari za historia, tunazungumzia alichosema Ponda, ambao ni wakati uliopo.
Tunaangalia ile paap muungano umevunjwa kwa ghafla wazanzibar watakuwa kwenye hali gani.
Kiukweli itakuwa balaa,hatarii tupuu.
Wewe tulia mimi nawatetea maana mazingira nayajua.
Viongozi mnao ila barabara zoote mjini mahandaki tupu, mshukuruni mama angalau anazikarabati sasa hivi
 
Muarobaini wa hizi kero za muungano ni kuuvunja tu,ni viongozi wa CCM tu ndiyo wanautaka lakini kama ingepigwa kura 'huru' ya maoni zaidi ya 99% ya Watanzania wangeukataa.
Nashindwa kujua; mtanganyika wa ccm ananufaika vipi na huu muungano?
 
Japo mm ni mkristo lakin huyu shekhe naweza kuhudhurua ibada zake coz ni jasiri na yuko real sana.... Sio wachugaj wetu huku daily ni kulamba makalio ya akina mama⌚100
 
Back
Top Bottom