Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.

Sikujua watu walichekea nini
 
Kw

Mngemwambia NO REFORM NO ELECTION..... Tena ili asichanganyikiwe unaichapa KIARABU
 
Mngemchapa makofi.
 
Muambie ukweli kwa lugha nyepesi bila mabadiliko hakuna uchaguzi
 
Hahahahaah
 
Kiufupi Shekh Ameeleweka vizuri sana.
 
Sheikh anaogopa kuingia kene 18 za wasiojulikana.
 

Ijue haki kwanza utawajua wenye haki ni kina nani.

Nyinyi mnaosema haki haki haki, inaonekana hata maana ya neno hali hamlijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…