Nakumbuka zama zile watawala walipokuwa wanawabwegesha watu kuwa ili Katiba irekebishwe ilikuwa ni lazima kwanza Kila mtanzania aisome na kuilewa iliyopo.Unajua kuna haki yako kwa Mtawala na Kuna haki ya Mtawala kwako wewe.
Je unajua haki yako wewe kwa Mtawala ?
Jibu maswali niliyo kuuliza.Unauliza swali kuonyesha wewe mjuaji, wakati ujuaji huna?
Nijibu swali lipi, hivi zinakutosha kichwani kweli?Jibu maswali niliyo kuuliza.
Hujajibu maswali niliyo kuuliza.Nijibu swali lipi, hivi zinakutosha kichwani kweli?
Hukuelewa nilicho andika hapo hadi sasa!
...'Sikujua watu wanacheka nini'... !Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.
Sikujua watu walichekea nini