Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
No reform No electionKwako haki ni nini ?
No reform No electionKwako haki ni nini ?
No reform No electionUnajua kuna haki yako kwa Mtawala na Kuna haki ya Mtawala kwako wewe.
Je unajua haki yako wewe kwa Mtawala ?
Soma huu waraka!Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.
Sikujua watu walichekea nini
Amani ni tunda la haki.Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.
Sikujua watu walichekea nini
Huamini uwepo wa Mungu?Kama kweli Mungu yupo ataamua kwa wakati wake.
NRNELeo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.
Sikujua watu walichekea nini
Ametumia hekma za kiustaadhi. Ameongea wnachotaka kusikia watawala wa CCM.Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka.
Sikujua watu walichekea nini
Wewe wasemaW1q
Huamini uwepo wa Mungu?
Lakini wewe unayedai kuijuwa maana ukawa huna uwezo wa kueleza maana yake!Ijue haki kwanza utawajua wenye haki ni kina nani.
Nyinyi mnaosema haki haki haki, inaonekana hata maana ya neno hali hamlijui.
Wewe naona ni mmoja wa mabwege fulani unayetaka kuchanganya akili za watu bila ya sababu yoyote kwa kutumia "ulaghai" ule ule mnaofundishwa kuwekwa mtindio akilini mwenu.Unajua kuna haki yako kwa Mtawala na Kuna haki ya Mtawala kwako wewe.
Je unajua haki yako wewe kwa Mtawala ?
Wapi nimeshindwa kuelezea maana ya haki ?Lakini wewe unayedai kuijuwa maana ukawa huna uwezo wa kueleza maana yake!
Huu ndio ujinga wenyewe.
Ulitakiwa ujibu maswali niliyo kuuliza.Wewe naona ni mmoja wa mabwege fulani unayetaka kuchanganya akili za watu bila ya sababu yoyote kwa kutumia "ulaghai" ule ule mnaofundishwa kuwekwa mtindio akilini mwenu.
"Haki yako kwa mtawala"?
"Haki ya mtawala kwako"?
Ni hivi: Hakuna HAKI inayoishinda haki yangu kumchagua mtu ninayetaka aongoze nchi yangu. Hiyo ni haki ya msingi isiyotakiwa kukanyagwa na mpumbavu yeyote; na hasa mtu mjinga kama Samia Suluhu Hassan.
Umenielewa?
Kamweleze, MAREKEBISHO ya Kanuni za uchaguzi ni lazima. Baada ya hapo, watu wapuuzi kama wewe mkiwa wengi na kuchaguwa yeye kuwa "mtawala", tutaheshimu haki yenu, na yeye tutamvumilia hivyo hivyo hadi tutakapoweza kumwondoa kwa kutumia HAKI yetu ya kutomchagua yeye.
Huelewi?Wapi nimeshindwa kuelezea maana ya haki ?
Unauliza swali kuonyesha wewe mjuaji, wakati ujuaji huna?Ulitakiwa ujibu maswali niliyo kuuliza.
Mna mihemko sana, mpaka mnakosa hoja.