Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

Soma huu waraka!
 

Attachments

Amani ni tunda la haki.
 
NRNE
 
Ametumia hekma za kiustaadhi. Ameongea wnachotaka kusikia watawala wa CCM.
QED.
 
Ijue haki kwanza utawajua wenye haki ni kina nani.

Nyinyi mnaosema haki haki haki, inaonekana hata maana ya neno hali hamlijui.
Lakini wewe unayedai kuijuwa maana ukawa huna uwezo wa kueleza maana yake!
Huu ndio ujinga wenyewe.
 
Unajua kuna haki yako kwa Mtawala na Kuna haki ya Mtawala kwako wewe.

Je unajua haki yako wewe kwa Mtawala ?
Wewe naona ni mmoja wa mabwege fulani unayetaka kuchanganya akili za watu bila ya sababu yoyote kwa kutumia "ulaghai" ule ule mnaofundishwa kuwekwa mtindio akilini mwenu.

"Haki yako kwa mtawala"?
"Haki ya mtawala kwako"?
Ni hivi: Hakuna HAKI inayoishinda haki yangu kumchagua mtu ninayetaka aongoze nchi yangu. Hiyo ni haki ya msingi isiyotakiwa kukanyagwa na mpumbavu yeyote; na hasa mtu mjinga kama Samia Suluhu Hassan.
Umenielewa?

Kamweleze, MAREKEBISHO ya Kanuni za uchaguzi ni lazima. Baada ya hapo, watu wapuuzi kama wewe mkiwa wengi na kuchaguwa yeye kuwa "mtawala", tutaheshimu haki yenu, na yeye tutamvumilia hivyo hivyo hadi tutakapoweza kumwondoa kwa kutumia HAKI yetu ya kutomchagua yeye.
 
Ulitakiwa ujibu maswali niliyo kuuliza.

Mna mihemko sana, mpaka mnakosa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…