Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

Unajua kuna haki yako kwa Mtawala na Kuna haki ya Mtawala kwako wewe.

Je unajua haki yako wewe kwa Mtawala ?
Nakumbuka zama zile watawala walipokuwa wanawabwegesha watu kuwa ili Katiba irekebishwe ilikuwa ni lazima kwanza Kila mtanzania aisome na kuilewa iliyopo.

Ukiwauliza mbona hii Katiba ya sasa inatumika wakati 95% hawajawahi hata kuiona sembuse kuisoma, unakula chuma.
 
...'Sikujua watu wanacheka nini'... !
Upo serious mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…