kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
nimecheka sana ,wangekuwa kwako usingejiuliza JFhahaha wewe usiseme kumbe wanyamwezi ndio zao hizo...itabidi nioe wakutoka huko
π€£π€£π€£π€£mkuu unataka mzigo na vifungashio vyake au siohahaha wewe usiseme kumbe wanyamwezi ndio zao hizo...itabidi nioe wakutoka huko
Angekuwa ashawalamaba kitambo labda angekuja kusimulia namna mashemwji walivyowatamunimecheka sana ,wangekuwa kwako usingejiuliza JF
sasa mwanawane unakuta kifaranga kina mvuto kuliko mama yake kwa nini usikapitieπ€£π€£π€£π€£mkuu unataka mzigo na vifungashio vyake au sio
ππππwe jamaa mbingu utasikia walah dahsasa mwanawane unakuta kifaranga kina mvuto kuliko mama yake kwa nini usikapitie
wewe sio mie tuu sitaiskia mbingu. nilishawaambia humu ndani kuwa kabila pekee hapa duniani zitaiona mbingu ni mbili tuu; wazungu na wajapan.ππππwe jamaa mbingu utasikia walah dah
Kuna mwanaume hapo sasa?Mwambie mke wako nampa pole
Mwanaume anayejitambua angemuita mke wake chumbani na kumwambia "Sitaki kuwaona wadogo zako wakivaa uchi nyumbani kwangu'
Sanaππ ππ Hivi ukiliwa unakuwa na kiburi........