Mmh mkuu kwani hapo kuna mahari umeona kuna mtu anamendea chochote kitu huko π€ au na ww ni mke wa marehemuMali walizochuma wanandoa zinabaki kuwa ni mali za wanandoa. Sisi wa pembeni sijui, mjomba, kaka, shangazi, mama mkwe, baba mkwe tutafute vya kwetu.
Huo ni mtazamo wako mkuu kwani we hujaelewa nilichoandka hapo, kosa alilofanya ni kuambiwa arudishw muhtasari ufanyiwe marekebisho yeye akaandka mwingne mpya na akabandika majina ya watu na akasaini kwamba wao ndo wamesaini we mpumbavu nn yaani unataka watu watumike kwenye kitu cha uwongo siyo π€ kwani angeleta hilo swala kwenye family nani angekataa kumrekebjshia ikiwa tyr ameshakabiziwa kila kitu sa kuna shida gani hapo...Roho mbaya inawasumbua upande wa marehemu,mlivyoamua kujitoa kwa kutotaka kukodolea macho mali za mama mjane fanyeni hivyo hivyo,msaidie mhitasari mumuache peke yake huyo mama apambane na Hali yake.
Kuna ka harufu ka kutamani mali za marehemu ili Khali mumiliki wake yupo
We huoni shida iko wp hapo au huelewi nilichosema hapo, yeye kaandika muhtasari mwngne bila taarifa na katumia majina ya watu na kaweka na sahihi za watu hao za uwongo we ungekubali kutumika kwa mtu kujihalalishia kitu kwa kughushi sahihi yako wakati mtu huyo alikuwa na uwezo wa kukutaarifu na ukamsaidia kihalaliAsa kama marehemu kaacha mke na watoto wawili nyie mnataka nini hapo?
Hakuna kilichomegwa hata kikombe cha marehemu vyote kapewa mkewe hata mirathi kakabidhiwa yeye afatilie π marehemu kaacha vitu vya ndani tu hakuna anayetaka chochote vyote anavyo mke, watoto wanasoma na wameshalipiwa ada na ukoo na hakuna anayemendea mirathi shida ni kujiandikia muhtasari na kubandika majina ya watu na kuweka sahihi zao za uwongo ww ungekubaliHao watoto wawili wote huyo ndiyo mama yao?..kama ndiyo kipi kilimfanya afoji?,au familia ilimega baadhi ya mali ya marehemu?.
Bt hakuna mwenye shida na mali na mali zenyewe zpi sasa vitu vya ndani au maana hakuna kingne shida tu alipopeleka muhtasari akaambiwa aurudishe kwenye ukoo ufanyiwe marekebisho kisha aurejeshe mahakamani yeye hakusema ila alikaa akajiandikia na akabandka majina ya mwenyekt na katibu walioandka muhtasari na akasaini kwa sahihi fake ww ungekubali kutumika ivoDah poleni. Mambo ya ndoa na mali ayo
Ukiona hivyo ujue hili swala lina makandokando. Mpeni haki yake mali za marehemu ni za familia yake ni Haki yao!Huo ni mtazamo wako mkuu kwani we hujaelewa nilichoandka hapo, kosa alilofanya ni kuambiwa arudishw muhtasari ufanyiwe marekebisho yeye akaandka mwingne mpya na akabandika majina ya watu na akasaini kwamba wao ndo wamesaini we mpumbavu nn yaani unataka watu watumike kwenye kitu cha uwongo siyo π€ kwani angeleta hilo swala kwenye family nani angekataa kumrekebjshia ikiwa tyr ameshakabiziwa kila kitu sa kuna shida gani hapo...
WE UTAKUBALI MTU ATUMIE JINA LAKO NA KUWEKA SAINI FAKE ASEME WW NDO UMEFANYA KWENYE KITU USCHOKIJUA kumany.oko ww unadhan watu huku wana njaa na mirathi ya mtu nipe ushahidi hata 1 hapo unaoonyeshe kuna tamaa za watu kutaka mirathi π
Mkuu Acha Roho mbaya halafu unatamaa na mali za watuBt hakuna mwenye shida na mali na mali zenyewe zpi sasa vitu vya ndani au maana hakuna kingne shida tu alipopeleka muhtasari akaambiwa aurudishe kwenye ukoo ufanyiwe marekebisho kisha aurejeshe mahakamani yeye hakusema ila alikaa akajiandikia na akabandka majina ya mwenyekt na katibu walioandka muhtasari na akasaini kwa sahihi fake ww ungekubali kutumika ivo
Makando kando yapi sasa π€ hapo kama kila kitu kipo mikononi mwake watu hawataki kutumika kwa kitu waschokijua sasa yaani mtu aandike jina lako na kuweka sahihi yako fake kwenye document inayotakiwa enda mahakamani wewe utakubali wakati document hiyo alikuwa na uwezo kukurejeshea umfanyie marekebisho na aipelekeUkiona hivyo ujue hili swala lina makandokando. Mpeni haki yake mali za marehemu ni za familia yake ni Haki yao!
Sawa mke wa marehemu πMarekebisho yaliyotakiwa na mahakama yalihusu nini hadi saini zihitajike upya na mtu aghushi? Si ange-attach tu nakala ya mwanzo yenye saini kwenye hayo marekebisho!!
Au muhtasari wa mwanzo haukuwa na saini za kikao cha ukoo?
Ni kama mna nongwa hivi,sioni sababu ya kuitisha kikao cha ukoo tena kwa ajili ya marekebisho kama hakukuwa na pande zinazovutana kwenye huo muhtasari.
Sawa mke wa marehemu π mi na roho mbaya lete huo muhtasari watu wakusainie tu na ueleze kwann ulisaini sahihi fake za watu ambao ungeweza onana nao tu wakakurekebshia na kukusainiaMkuu Acha Roho mbaya halafu unatamaa na mali za watu
Namsaidia sn na naongea naye mi sina tatzo kbs nimemwambia tu arudi kwenye family wamrekebishie nipo tyr kumsaidia vzr tuSi mtumie ule wa mwanzo.. Mrekebishe au? Ila why uliandika hayo na ni kama una cheka.. Lazima kuna watu walimtisha mpe nafasi msaidie atakuwa amejuta kimya kimya