Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

Sawa mke wa marehemu mi nataka na hivyo sasa

Liko wazi ni yeye tu 🤔 shida tu kujirekebishia muhtasari na kutia saini fake za watu ambao hawajui kmerekebishwa nn
Usomeni huo muhtasari kama mnaridhika na marekebisho mruhusuni aupeleke mahakamani.
Au kwakuwa nyinyi mmeridhia yeye kuwa msimamizi na mmeshagundua alikosea kufoji, basi msaidieni kuurekebisha mtie saini kisha mkabidhini akaendelee na mirathi. Minute haiwezi kuwa kikwazo kivile ikiwa nyie kweli mmeamua kumkabidhi usimamizi.
 
Nimeandka sababu ninayeamua si mimi ila ni family sa naendaje kinyume na family iliyoandaaa muhtasari wa mwanzo
Kwani nyie familia mna pingamizi kwa yeye kuwa msimamizi wa mirathi au kuna mgogoro wowote kwenye hiyo mirathi ambao mnahisi utaleta shida?
 
Kama kweli mmedhamiria kumuachia mke wa marehemu mali walizozichuma na mumewe msaidieni kuandaa huo muhtasari upya kwa mujibu wa maelekezo ya mahakama , achana na hiyo habari ya kuwa aligushi sahihi zenu, mara alibadili baadhi ya maelezo ktk muhtasari wa kikao cha ukoo.....................
Mkuu hapa hata mie nimepata ukakasi kidogo,nadhani hapo kwenye kubadili maelekezo ndio shida ya kuzimezea mate Mali za marehemu na wanatia ngumu coz Kuna mtu anaenda kosa fungu ndio maana wanataka kumletea Zengwe huyu Mama.......... Hebu msaidie huyo mama apate haki yake alee watoto wake...... Naongea haya coz mie ni muhanga wa hizi Mihutasari ya ukoo,ila kwetu waliisoma namba hawana hamu namie kabisa.wameanza mwaka juzi na kunisalimia
 
Kwani nyie familia mna pingamizi kwa yeye kuwa msimamizi wa mirathi au kuna mgogoro wowote kwenye hiyo mirathi ambao mnahisi utaleta shida?
Hapana shida ila ndugu wanacholalamika ni kujiandikia muhutasari mpya na kutumia majina ya watu na kuwawekea saini
 
Mkuu hapa hata mie nimepata ukakasi kidogo,nadhani hapo kwenye kubadili maelekezo ndio shida ya kuzimezea mate Mali za marehemu na wanatia ngumu coz Kuna mtu anaenda kosa fungu ndio maana wanataka kumletea Zengwe huyu Mama.......... Hebu msaidie huyo mama apate haki yake alee watoto wake...... Naongea haya coz mie ni muhanga wa hizi Mihutasari ya ukoo,ila kwetu waliisoma namba hawana hamu namie kabisa.wameanza mwaka juzi na kunisalimia
Haya njoo uungane naye sasa msaidzane karibu sn yaan mtu awekee sahihi fake watu halafu unataka wanyamaze siyo 🤔 ingekuwa ni kesi ya mauaji na tyr mtu kabandka watu na kawasainia ingekuaje 🖕
 
Hapo nafikiri huyo mwanamama hajawa muwazi kwenye hilo suala, ni kwanini aandike muhtasari mwingine na saini za watu bila wao kuhusika? Hio ndio shida/pingamizi la awali.
 
Hapana shida ila ndugu wanacholalamika ni kujiandikia muhutasari mpya na kutumia majina ya watu na kuwawekea saini
Okay...
Labda aliona kuwakusanya ndugu ni shida ndo maana akaamua afanye hivyo as long as hakuna mabadiliko makubwa. Mkianza kubishania muhtasari mtajichelewesha hasa ukizingatia lengo kuu la kikao ni kumteua msimamizi (of which it remained the same hata baada ya kurekebisha minute). Inshort hicho mnachobishania ni minor issue. Hiyo mihtasari watu hubadilishia tu hata hapo mahakamani then inarudishwa. Issue ingekuwa kubwa kama mngekuwa mnampinga msimamizi hamumtaki hapo kungekuwa na uzito.

Na kuna mashauri ya mirathi huwa yanafunguliwa bila muhtasari na sio kosa.

My take:
Kama hamna shida na msimamizi wa mirathi mpeni ushirikiano msi complicate mambo.
 
Mmh mkuu kwani hapo kuna mahari umeona kuna mtu anamendea chochote kitu huko 🤔 au na ww ni mke wa marehemu
Fanyeni yote yanayolenga kurahisisha jambo hilo. Kama arekebisho aliyofanya kwa kuelekezwa na mahakama hayaathiri haki za wanaostahili kurithi kubakia neno nayo haraka.
 
Ule wa mwanzo anao si ndo alipeleka huko kaambiwa kuna mambo yamekosewa arudshe tumrekebishie yeye hakurudi akajiandkia mwngne na akaweka na majina ya watu na saini zao fake wakati marekebisho hayo hata yasingeathiri madai yake
Ninachoona huo wa awali pamoja na kukosewa pia kuna vipengele mmeweka kumminya mjane so why akaamua kuforge ili hivyo vibano visiwepo
 
  • Thanks
Reactions: naa
Tunaomba utusaidie kuuliza kama familia mlikaa na kukubaliana kuwa mali zibaki kwa mke kama msimamizi na unadai hamkuchukua hata kikombe, kwanini mke wa marehemu afoji saini za watu kwenye muhtasari mpya?
 
Hakuna kilichomegwa hata kikombe cha marehemu vyote kapewa mkewe hata mirathi kakabidhiwa yeye afatilie 😀 marehemu kaacha vitu vya ndani tu hakuna anayetaka chochote vyote anavyo mke, watoto wanasoma na wameshalipiwa ada na ukoo na hakuna anayemendea mirathi shida ni kujiandikia muhtasari na kubandika majina ya watu na kuweka sahihi zao za uwongo ww ungekubali
Kuweka sahihi zenu siyo shida.
Kuna sehemu ya muhtasari ambapo amejimegea mali za marehemu
 
Kwa tuliowahi fuatilia mirathi hicho ni kitu cha kawaida sana, kaka yupo UK dogo Uhispania mwingine Mwanza na kesi ipo Dar, unadhani ni rahisi kuwakusanya watu wa namna hii pamoja kwa urahisi?

Kama unamtakia mema kweli fanya utafiti halafu waelekeze ndugu zako la sivyo itakuwa kweli mmetolea macho mali za marehemu
 
Umakini usipozingatiwa kwenye usimamizi na ugawaji kuna kibenteni anaenda kujiokotea boga na mauwa yake
 
Tunaomba utusaidie kuuliza kama familia mlikaa na kukubaliana kuwa mali zibaki kwa mke kama msimamizi na unadai hamkuchukua hata kikombe, kwanini mke wa marehemu afoji saini za watu kwenye muhtasari mpya?
Sa unaniuliza mm nenda kumuulize mfoji sahihi
 
Kuweka sahihi zenu siyo shida.
Kuna sehemu ya muhtasari ambapo amejimegea mali za marehemu
Jamaa ni mjinga sn hivi unajua kufoji sahihi ya mtu na kuitumia kujinufaisha ni kosa kisheria na anaweza kukushtaki hayo mambo ya mirathi hakuna mwenye muda na hiyo mirathi wala huo muhtasari haukuwa na sehem yoyote ya kumuonea kuna vpengele aliambiwa na mahakama alete tumrekebshie haluja wala hakutoa taarifa kafanya mwnyw na akatia sahihi za watu fake
 
Back
Top Bottom