Ule wa mwanzo anao si ndo alipeleka huko kaambiwa kuna mambo yamekosewa arudshe tumrekebishie yeye hakurudi akajiandkia mwngne na akaweka na majina ya watu na saini zao fake wakati marekebisho hayo hata yasingeathiri madai yakeSi mtumie ule wa mwanzo.. Mrekebishe au? Ila why uliandika hayo na ni kama una cheka.. Lazima kuna watu walimtisha mpe nafasi msaidie atakuwa amejuta kimya kimya
Nimeandka sababu ninayeamua si mimi ila ni family sa naendaje kinyume na family iliyoandaaa muhtasari wa mwanzoSi mtumie ule wa mwanzo.. Mrekebishe au? Ila why uliandika hayo na ni kama una cheka.. Lazima kuna watu walimtisha mpe nafasi msaidie atakuwa amejuta kimya kimya
Uku sahihi kabisa ila na sisi binaadamu tunajisahau sana na ndio maana tukifa tuleta taharuki kwenye familia zetu kwa dunia ya leo ya utawazi inatakiwa tuweke utaratibu wa kukabidhi urithi kwa wahusika ingali mapema kisheria utakaoona wanafaa kukulithiMali walizochuma wanandoa zinabaki kuwa ni mali za wanandoa. Sisi wa pembeni sijui, mjomba, kaka, shangazi, mama mkwe, baba mkwe tutafute vya kwetu.
Mumsamehe itakua Kuna watu wamemjaza. Haina haja kugombana.Bt hakuna mwenye shida na mali na mali zenyewe zpi sasa vitu vya ndani au maana hakuna kingne shida tu alipopeleka muhtasari akaambiwa aurudishe kwenye ukoo ufanyiwe marekebisho kisha aurejeshe mahakamani yeye hakusema ila alikaa akajiandikia na akabandka majina ya mwenyekt na katibu walioandka muhtasari na akasaini kwa sahihi fake ww ungekubali kutumika ivo
Kwahiyo na Muhtasari mkuu nao alifoji signature? Huo Muhtasari unaweza kufanyiwa marekebisho hapo hapo Mahakamani. Unadhani wataitwa watu kuja kusign upya? au wewe ni mgeni wa haya mambo umewahi shughulikia mirathi? Otherwise unashupalia mali aliyoitolea jasho mwanaume mwenzako Faken! Mpeni huyo mjane Haki yake!Sawa mke wa marehemu π mi na roho mbaya lete huo muhtasari watu wakusainie tu na ueleze kwann ulisaini sahihi fake za watu ambao ungeweza onana nao tu wakakurekebshia na kukusainia
Umeleta mambo yenu binafsi yajadiliwe kwenye public forum halafu tukikubana unaleta us*nge.Sawa mke wa marehemu π
Huyo jamaa ana conflict of interest kwenye hiyo mirathi NOTHING ELSEUmeleta mambo yenu binafsi yajadiliwe kwenye public forum halafu tukikubana unaleta us*nge.
Watu wasafiri miles kuja kuweka saini kwenye marekebisho yasiyo na mgogoro wowote!!
Au ni ukoo wa majobless huo et mnaumia saini zenu kughushiwa??
NB:Sisi watu wazima ujue,kuna mgogoro hapo na nyie wapuuzi mnadowea mali za watu.
Uzi huu ulifaa kuishia hapa. Sijui hata mnajadili nini baada ya hili hitimisho kuwekwa hapa? π³Mali walizochuma wanandoa zinabaki kuwa ni mali za wanandoa. Sisi wa pembeni sijui, mjomba, kaka, shangazi, mama mkwe, baba mkwe tutafute vya kwetu.
Shemeji tafuteni vya kwenu.. Acheni kujilegezaNdiyo hivyohivyo mkewe marehemu nakuelewa
Ndiyo nashupalia mali za marehemu πKwahiyo na Muhtasari mkuu nao alifoji signature? Huo Muhtasari unaweza kufanyiwa marekebisho hapo hapo Mahakamani. Unadhani wataitwa watu kuja kusign upya? au wewe ni mgeni wa haya mambo umewahi shughulikia mirathi? Otherwise unashupalia mali aliyoitolea jasho mwanaume mwenzako Faken! Mpeni huyo mjane Haki yake!
Sawa mke wa marehemu mi nataka na hivyo sasaShemeji tafuteni vya kwenu.. Acheni kujilegeza
Liko wazi ni yeye tu π€ shida tu kujirekebishia muhtasari na kutia saini fake za watu ambao hawajui kmerekebishwa nnTatizo kubwa sana ni DNA . Ngozi yetu nyeusi ni tatizo kubwa mno!!.
Kwenye msiba baada ya mazishi mnakaa kikao unashangaa mtu ana kende zake zote mbili zilishaning'ia zimechokaaaa anasumbua anagombania mali za marehemu ilhali mke wa marehemu yupo na watoto pia.
Kama kweli mmedhamiria kumuachia mke wa marehemu mali walizozichuma na mumewe msaidieni kuandaa huo muhtasari upya kwa mujibu wa maelekezo ya mahakama , achana na hiyo habari ya kuwa aligushi sahihi zenu, mara alibadili baadhi ya maelezo ktk muhtasari wa kikao cha ukoo.....................
Hilo si unasamehe tu ndugu!!, au una ugomvi naye?Sawa mke wa marehemu mi nataka na hivyo sasa
Liko wazi ni yeye tu π€ shida tu kujirekebishia muhtasari na kutia saini fake za watu ambao hawajui kmerekebishwa nn