We ni mjinga sn vipengele vya kurekebisha vilitoka mahakamani siyo khs yeye bnafsi maana yake hata yeye hakuwa na shda na muhtasari wa ukoo ila alitaka tu shortcut akajirekebshia na kupga sahihi za watu hao waliopgiwa sahihi ndo hawataki sasa wanataka kujua kwann sahihi zao zfojiweNinachoona huo wa awali pamoja na kukosewa pia kuna vipengele mmeweka kumminya mjane so why akaamua kuforge ili hivyo vibano visiwepo
Taarifa yote ipo kwenye thread hujaelewa unataka niseme nn kama ww unawaza kwamba kuna watu tunamendea mirathi , yaan mtu afoji sahihi yako na kwenda itumia mahakamani wakati anajua kbs mnaweza kukutana, je kama alibadili muhtasari akajiandkia mambo ambayo hamkukubaliana naye na ameghushi sahihi zenu itakuaje ukizngatia marekebisho hayo aliambiwa na mahakama siyo yake bnfasi tu maana yeye hakuwa na shida na muhtasari wa ukooWewe ndio mleta taarifa
Hoja yangu ni wewe pamoja na ukoo, kumuuliza kwanini akibadilisha muhtasari kwa kufoji sign? Haujamhoji hilo swali maana wewe ndio uko karibu nayeTaarifa yote ipo kwenye thread hujaelewa unataka niseme nn kama ww unawaza kwamba kuna watu tunamendea mirathi , yaan mtu afoji sahihi yako na kwenda itumia mahakamani wakati anajua kbs mnaweza kukutana, je kama alibadili muhtasari akajiandkia mambo ambayo hamkukubaliana naye na ameghushi sahihi zenu itakuaje ukizngatia marekebisho hayo aliambiwa na mahakama siyo yake bnfasi tu maana yeye hakuwa na shida na muhtasari wa ukoo
Mjinga mwenyewe!!!We ni mjinga sn vipengele vya kurekebisha vilitoka mahakamani siyo khs yeye bnafsi maana yake hata yeye hakuwa na shda na muhtasari wa ukoo ila alitaka tu shortcut akajirekebshia na kupga sahihi za watu hao waliopgiwa sahihi ndo hawataki sasa wanataka kujua kwann sahihi zao zfojiwe
Hakuna notion hio. Mali zilizotafutwa na wengine ni msemo tu unakuja kwa labda una nia ya dhuluma. Wewe,mim na kila mtu ni marehem watatajiwa kwa uwezo wa mungu. Kwa hio kama tukisema ok kila mtu atafute vyake.umekufa so asset zote zako tukazigawe mskitin au makanisan.na watoto wako wawe mitaan watatafuta vya kwao? Ni dini gani huyo jamaa aliyenlandika wosia?Kuna tajiri mmoja aliandika Wosia wake Mwaka juzi alifanya siri hakumshirikisha Mke wake wa Ndoa, kwa bahati mbaya alifariki Mwaka huu, baada ya maziko aliyekuwa shahidi kwenye Wosia akaijulisha familia kuwa kuna Wosia Marehemu alikuwa ameandika na akawajulisha sehemu Wosia ulipo akawaomba watakapokuwa tayari kwa ajili ya kusomewa Wosia wamjulishe. Huyo Tajiri alikuwa na Watoto wengi nje ya Ndoa, kwenye Ndoa alikuwa na Watoto Wawili, walipopata nafasi walimjulisha Shahidi wakasomewa Wosia, Mali zote alizokuwa nazo Marehemu alipewa Mke wa Ndoa na Watoto wake wengine hawakupewa chochote na sababu ya kutokupewa chochote aliandika hawakumjali wakati wa ugonjwa wake, Watoto wenyewe wengi wao walikuwa wanategemea mali za Baba yao, Mtoto mmoja kati ya ambao hawakupewa chochote alikwenda mahakamani kuweka pingamizi kuwa hakubaliani na Wosia, Kesi inaendelea mahakamani, kwa Wanasheria hili jambo muafaka wake utakuwaje?
Ni vizuri tujifunze kutafuta vya kwetu bila kusubiria mali zilizotafutwa na Mtu mwingine.
Sasa Mkuu kama kosa limefanyika na ninyi hamna pingamizi na usimamizi wa Mirathi kwa nini msisamehe yapite ili mahakama ihitimishe hili suala. Kwangu naona haina nongwa kwa sababu ni suala la kupotezea tu kwa sababu kosa limeshafanyika. Mumsainie maishe yaendelee.Taarifa yote ipo kwenye thread hujaelewa unataka niseme nn kama ww unawaza kwamba kuna watu tunamendea mirathi , yaan mtu afoji sahihi yako na kwenda itumia mahakamani wakati anajua kbs mnaweza kukutana, je kama alibadili muhtasari akajiandkia mambo ambayo hamkukubaliana naye na ameghushi sahihi zenu itakuaje ukizngatia marekebisho hayo aliambiwa na mahakama siyo yake bnfasi tu maana yeye hakuwa na shida na muhtasari wa ukoo
Mbona kama unaomba ushauri huku unamajibu tayari yako kichwani,Bt hakuna mwenye shida na mali na mali zenyewe zpi sasa vitu vya ndani au maana hakuna kingne shida tu alipopeleka muhtasari akaambiwa aurudishe kwenye ukoo ufanyiwe marekebisho kisha aurejeshe mahakamani yeye hakusema ila alikaa akajiandikia na akabandka majina ya mwenyekt na katibu walioandka muhtasari na akasaini kwa sahihi fake ww ungekubali kutumika ivo
Kama Mali zipo, vyote tunavyo....Ujanja ni kiwahi😁
Sio wote wenye mawazo chanya kama yako!Kama Mali zipo, vyote tunavyo....
Kama umaskini upo, tulianza nao.....
nini kinatugombanisha ....
Hatare sana mzeeSio wote wenye mawazo chanya kama yako!
WeweEquation X, heshimu sheria. Bila sheria binadamu tungekuwa tunawindana na kuuana hovyo kama unavyoona wanyama wanavyoishi. Civilization made us to be like how we are right now. Sheria za mirathi zinasema wazi kabisa kuwa bila muhtasari wa kikao cha ukoo/familia kumchagua msimamizi wa mirathi shauri halifunguliwi au linafutwa kama lilishafunguliwa. Sasa wewe fata hisia zako bila kujua everything in this world is being governed.Mali walizochuma wanandoa zinabaki kuwa ni mali za wanandoa. Sisi wa pembeni sijui, mjomba, kaka, shangazi, mama mkwe, baba mkwe tutafute vya kwetu.
WeweEquation X, heshimu sheria. Bila sheria binadamu tungekuwa tunawindana na kuuana hovyo kama unavyoona wanyama wanavyoishi. Civilization made us to be like how we are right now. Sheria za mirathi zinasema wazi kabisa kuwa bila muhtasari wa kikao cha ukoo/familia kumchagua msimamizi wa mirathi shauri halifunguliwi au linafutwa kama lilishafunguliwa. Sasa wewe fata hisia zako bila kujua everything in this world is being governed.
Sikiliza kaka nikupe elimu ya kisheria. Usidhani hao wa Asia au wazungu hawana msimamizi wa mirathi. Ushawahi kusikia THE HEIR OF A FAMILY? Huyo ndio msimamizi wa mali zote na msemaji mkuu. Narudi kwetu, ufinyu wa uwelewa kutokana na mapungufu ya lugha yetu ya kiswahili ndio unaokufanya uishie kufikiria hivyo. Kiufupi; KAZI KUBWA YA MSIMAMIZI WA MIRATHI ni kukusanya na kuzitambua mali za marehemu. SIO LAZIMA AZIGAWANYE KWA WAHUSIKA BALI CHOCHOTE KINACHOHUSU HIZO MALI YEYE NDIYE MUONGOZAJI NA MSEMAJI MKUU. Kwetu huku kutoka na uchumi mbovu na kipato haba akichaguliwa msimamizi wa mirathi mnataka mfikie hatua ya baada ya utambuzi wa mali bhasi kama muongozaji mkuu azigawe ili kusiwe na manung'uniko kati ya wanafamilia.Na kwanini hudai mirathi, haya mambo kwa matajiri wa asili ya asia hayapo, baba anakufa watoto wanaendeleza pale baba alipoishia.
Sisi huku wamatumbi, kutokana na tamaa za watu wa pembeni, tumejikuta tukitaka uhalali wa kumiliki vitu ambavyo si vya kwetu, na kupelekea kwenda kutafuta haki mahakamani.
Lakini, mengi yalikuwa yanaishia kwenye familia tu.
Kuwepo na msimamizi wa mali inasaidia niniSikiliza kaka nikupe elimu ya kisheria. Usidhani hao wa Asia au wazungu hawana msimamizi wa mirathi. Ushawahi kusikia THE HEIR OF A FAMILY? Huyo ndio msimamizi wa mali zote na msemaji mkuu. Narudi kwetu, ufinyu wa uwelewa kutokana na mapungufu ya lugha yetu ya kiswahili ndio unaokufanya uishie kufikiria hivyo. Kiufupi; KAZI KUBWA YA MSIMAMIZI WA MIRATHI ni kukusanya na kuzitambua mali za marehemu. SIO LAZIMA AZIGAWANYE KWA WAHUSIKA BALI CHOCHOTE KINACHOHUSU HIZO MALI YEYE NDIYE MUONGOZAJI NA MSEMAJI MKUU. Kwetu huku kutoka na uchumi mbovu na kipato haba akichaguliwa msimamizi wa mirathi mnataka mfikie hatua ya baada ya utambuzi wa mali bhasi kama muongozaji mkuu azigawe ili kusiwe na manung'uniko kati ya wanafamilia.
Kama hujaelewa hapo sijui nikusaidiaje mkuu