Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Hapo ndio inaboa sana. Usiku hulali mtoto ana homa unajichanga changa hospitali anakuangalia tu. Huku mwanaume mwingine anatumiwa msg tu. Tumeenda hosp na yula fala😅😅
Wanawake akili zao wanazijua wao wenyewe, ukiwafatilia Sana jela itakuhusu
 
Kwani wewe huwezi kulea mtoto asiye wako?
kama baba yake yupo siwezi kulea,, kufanya hivyo ni kuonyesha udhaifu wa hovyo kabisa,, hujawahi kujiuliza kwanini most of women huwa hawataki kulea watoto wasiotoka kwenye matumbo yao??
 
Maelezo yametosha kabisa
 
Sisi tumesimuliwa tunajuaje huyu jamaa kama kaongeza chumvi kumfanya shemeji yake aonekane mbaya. Maana hatukuwepo kny eneo la tukio [emoji846][emoji846]
Mbona mada imenyoka wala haina chumvi yoyote
 
Bibi yake mzaa baba yake.
 
Kwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigo
Hahaha! Duuh
 
Rangi ya mtoto haitoshi tu kumshuku, mimi mwenyewe chocolate, mke wangu mweusi ila binti wetu cheupeee!!! Lakini muonekano wa uso wa binti tunafanana balaa belua.
Chukueni nywele ya huyo mtoto kisiri mkapime ili kuondoa mashaka.
Ni kweli rangi sio kugezo pekeee
 
Wewe ndio umetoa maelezo mazuri. Asante.
 
ni rahisi kwa mtoto mmoja.... walio wengi wamefanikisha hilo. Changamoto kuongeza mtoto wa pili?

Tatizo hawana fact za kumkataa mtoto ina maana mtoto ni lazima afanane na baba na mama? Maana ya genetic nini? Na wanasema wamesoma sasa sijui wameelimika au
 
Kuchapiwa siri ya ndani.
 
Very interesting.....Mambo ni magumu sana, huyo jamaa atumie busara na hekima kuling'amua hilo.
 
Tatizo hawana fact za kumkataa mtoto ina maana mtoto ni lazima afanane na baba na mama? Maana ya genetic nini? Na wanasema wamesoma sasa sijui wameelimika au
Kusoma ndio kumewafanya wasiamini kila kitu. Fact pekee ya uhakika ni DNA ndio usomi huo.
 
H
Wewe umeoa? Mnapendaga kuingilia mambo ya watu ya nini? Lione lilivyokomaa! Mwanaume unakuwa kama binti? Wacha hizo mwamba jali business zako! Nimeupenda msimamo wa huyu binti! Hakuna kurudi nyuma!
Duuh we Mama kiboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…