Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Huenda hapo kwenye bold ndio kwenye majibu "kauziwa mbuzi kwenye gunia"
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Ndio ila hiyo si hoja sana kisayansi....DNA ndio baba laoWote hafanani nao?
Sasa Kaka afanye niniDah! Mwanamke mwenye confidence ya hivi Ni hatar Sana kaka ako kuendelea kuishi nae
How?
Kitanda hakizai haramuWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Daah kauli yake imezidi kuvunja moyoHuenda hapo kwenye bold ndio kwenye majibu "kauziwa mbuzi kwenye gunia"
Yaan Kwa kubisha tu tayari mngekua mmeshampa TalakaWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Si lazima sample zichukuliwe kwa woote? Huo ujasusi ukoje?Man kuna namna ya kufanya kimya kimya. Hizi mission nzito huwa zinafanyika bila hata mzazi kujua. Wahusika tu wasijue lolote, aje tu kupewa majibu.
Si rahis mtu kukwepa majibu yenye udhibitisho
Hata huyo wa kwanza kabambikiwaMtoto wa pili huyo
π π π πYaan Kwa kubisha tu tayari mngekua mmeshampa Talaka
Jibu tayari, mtoto sio wake.Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Hi
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Sasa Kaka afanye nini
Poleni, hapo mmepigwaWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Wakwanza anafanana kila kitu na mshikaji hakuna question kabisaHata huyo wa kwanza kabambikiwa
Daah sa itakuwaje?Poleni, hapo mmepigwa
Nyie wote ni wajinga asingemshirikisha mke wake kwenye suala la kupima DNA in first placeWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Ndio ila hiyo si hoja sana kisayansi....DNA ndio baba lao
π π πWewe huyo kaka yako mgumba bhna sema watu wanapendagaa kuwasingizi wanawake kumbe ata wanaume wagumb uwend mAma kila anapo jaribu kumtegea jamaa jamaa azalishi matunda afanyaje sasa
Tafuta muda kasome khs genetic mkuu, jambo la kawaida hlo, au tafuta daktari akuelezeeWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.