Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.

Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.

Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.

Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.

Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.

lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.

Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.

Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.

Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.

Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Na matokeo ya DNA skhz hawatak watoto wa mtaan, so mtoto ni wake even through DNA test
 
Yuko tayari kuvunja Ndoa?

Mnasubiri nn? Anataka apate sababu ya kuhalalisha ukosefu wake, ionekane kwamba mtoto wa ni wajamaa, ila amemkataa.

Sasa Basi, mwambie jamaa akomaez bila DNA, hamna ndoaa.

Ikibidi aanze mchakato za kibabe kabisaz kumwambia asepe .

Siku hizi Kila mtu anashinda mechizake.
 
Daah itakuwa hasara kubwa sana kwa hii familia. Kama kweli Mke kachepuka nje amemuumiza sana Bro wangu mchapa kazi. Furaha yoote imeingia shubiri
 
Mwanaume ndo kichwa Cha familia, we ndo mwenye maamuzi, usipoonyesha uanaume wako, mwanamke huyo atakudharau na atakuletea mtoto mwingine wa nje.
Baiolojia ya kawaida tu, ni kwamba wewe na yeye mnachangia chromosome 23, so kiumbe anakua na 46 huku akiwa na sifa zenu zote, usikubali ya kuwa mtoto anafanana ujombani, huo ni ujinga mtupu hata mwenye elimu ya kidato Cha nne atakucheka.
Ukionyesha udhaifu mwanamke atakudharau mwisho utaachika kama Ricardo Momo.
Kampime DNA, Kwa lazima, muambie asipopima basi asitumie ubini wako Wala jina lako la ukoo.
Be a man.
 
😅😅😅😅sawa mkuu huu ushauri umefika
 
Back
Top Bottom