Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Kuzaa nje na kuzalia ndani ni tofauti.

Kuzalia ndani kwa mume inahitaji roho ngumu na dharau iliyoshiba.

Shida sisi wanaume ni wa binafsi na tunaogopa fedhea angekuwa mwanamke hana uwezo akushika mimba mwamba angeenda kuzaa njee na fresh anakuja home na kifua mbele ila mwanamke hapo huwenda kajaribu sana mwamba azalishi kaamua akajalibu njee ngoma imadaka atoe? Ww nipo upande wa shemeji yako ase
 
Nyie mbona mnataka kuchezea standards za watu. Yaani mtoto apimwe upewe majibu hasi kwa sababu za kitoto kama hizo?
DNA test majbu utapewa ya ukwel km una dokta una muamin sana kbs ndo atakupanga ukwel tena hat akiwa mshkaj wako anaweza akaongopa ili kuzuia migogoro kwa ndoa yako
 
Shida sisi wanaume ni wa binafsi na tunaogopa fedhea angekuwa mwanamke hana uwezo akushika mimba mwamba angeenda kuzaa njee na fresh anakuja home na kifua mbele ila mwanamke hapo huwenda kajaribu sana mwamba azalishi kaamua akajalibu njee ngoma imadaka atoe? Ww nipo upande wa shemeji yako ase
Na wewe ungefanya kama shemeji kugomea DNA?
 
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.

Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.

Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.

Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.

Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.

lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.

Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.

Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.

Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.

Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.

Ya ngoswe mwachie ngoswe

Tena uthubutu kupima watoto wangu wakati mimi najijua ndio utajua hujui
 
Hayo ya wazee wa zamani waliokuwa hawako responsible na familia ndio maana walichukulia mambo poa.
Hata wewe ukiwa na Familia jitahidi kuchukulia mambo poa, utawin!! Mkuu itakusaidia nini endapo utajua kuwa sio mtoto wako lakini amezaliwa nyumbani kwako?

Hii inashida gani? hata kama sio wa kwako na ukamlea tu
 
Akalelewe na baba yake, huu ndo mfumo wa Kibiblia.
 
Back
Top Bottom