Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Mkuu hujachelewa, nakuhakikishia, ukiona mwanamke anakufanyia yasiyofaa ,ni wewe umeamua akufanyie hayo.

Kua kimya Kwa mwanamke, mwisho wake ni kukuona Boya.

Sio ukimya tunachotaka hapa ni mwanaume kuna sehemu zako unatakiwa uonyeshe uwanaume lakini sio kila sehemu unaleta uwanaume wakati busara ndio zinatakiwa kaka
 
Wewe na huyo bro wako ni kama matahila tu. Wanawake wa kisasa watakubali kuumbuka kizembe hivyo? Kwanini asingemchukua mtoto kimya kimya akaenda nae kupima mpaka aombe ruhusa kwa mkewe. Mkome.
 
Hii inawezekana kwasababu vinasaba vinaenda way back vizazi vingi sana.

[emoji28][emoji28][emoji28] Hii ni ukiona Manyoya ujue tayari- partenity test lazima iombwe ustawi wa jamii au mahakamani siyo jambo la kuzoana tu.

Na process zake ni ndefu sio za siku mbili
 
Peleka kenya haina haja ya mahakama hata online unapima, ukilipia unapewa namna ya kutuma sample, then majibu wanakutumia online utapambana na stress mwenyewe
 
Mlishindwa nini kufanya bila kumshirikisha mama, issue tu ngoja nikapunge upepo na kids huku umempanga doctor kimya kimya
 
Huyo ndugu yako kabla ya kupima DNA na mtoto aanze kujipima mwenyewe kama ana uwezo wa kutungisha mimba, msimchefue Mama wawatu, huenda kafichiwa aibu yeye anaanza kuleta kidomo domo, huyo Mama kamfanya aitwe mwanaume [emoji16][emoji16]
 
Mtu haitwi baba kwa ulezi.

Mtu anaitwa baba kwa Kutoa mbegu iliyotungisha mimba.

Kumbuka Kuna Mwanaharamu na Mwana wa Haramu.

Hivyo wasi wasi ndio akili
Aanze kupima yeye ajitambue kama anauwezo wakuzalisha sio kukimbilia kumpima mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…