Dah nikweli Mkuu Ila mambo mengine Yana kera SanaaKuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
Mkuu inabidi uwe mpole unaweza umfunge na sister akaja kumtoa kwa nguvu zote mkaishia kugombana tu na dada.Wanawake akili zao wanazijua wenyeweNimekuelewa sanaaa Mkuu
Acha tu Mkuu nimemlea Dada Yangu kwa kharama nimesomesha kwa kharama nimejinyima vingiMkuu inabidi uwe mpole unaweza umfunge na sister akaja kumtoa kwa nguvu zote mkaishia kugombana tu na dada.Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Kuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
sema muda mwingine roho ngumu inahitajika,kama unammudu mkate hata kidole kimojaAcha tu Mkuu nimemlea Dada Yangu kwa kharama nimesomesha kwa kharama nimejinyima vingi
Leo hii jitu moja linakuja kuniharibia furaha Yangu
Nikwamba tu wanawake nao sio watu wakuwaamini kabisa
Lakini niliwaza kumpoteza huyu jamaa
Alisharudi Mkuu tenaa Akagoma kabisaa kurudi lakini jamaa alikuja kuomba sanaa tukaona si vyemaWanawake wengine sijui kwao utafikiri wameua yaani unafanyiwa vitimbwi bado umekaa tu.
Nimekupenda bure, huyu jamaa ni mvulana mambo ya dada yake na mme wake anatakiwa asiyafuatilie. Ukijua kuwa dada yako hata umpe nini kuna kitu cha muhimu kwake huwezi kumpa (dushe), ukimtoa lazima kuwe na mtu wa kumpa dushe ambaye atakuwa ni shemeji yako. Ati wao wana pesa, kama wana pesa kwa nini hakubaki kwao? Ni kujaribu kutafuta chanzo cha mtifuanoKuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
Muite jamaa mumwambie ukweli kama kamchoka amuache.Acha tu Mkuu nimemlea Dada Yangu kwa kharama nimesomesha kwa kharama nimejinyima vingi
Leo hii jitu moja linakuja kuniharibia furaha Yangu
Nikwamba tu wanawake nao sio watu wakuwaamini kabisa
Lakini niliwaza kumpoteza huyu jamaa
Kama una dada fanya booking Segerea mapemaSiku nitakayo mkuta shemeji yangu anampiga dada ndo siku nitakayo kwenda jela.
Mkuu nadhani huna mdogo wako wakike au hayaja kukuta MzeeNimekupenda bure, huyu jamaa ni mvulana mambo ya dada yake na mme wake anatakiwa asiyafuatilie. Ukijua kuwa dada yako hata umpe nini kuna kitu cha muhimu kwake huwezi kumpa (dushe), ukimtoa lazima kuwe na mtu wa kumpa dushe ambaye atakuwa ni shemeji yako. Ati wao wana pesa, kama wana pesa kwa nini hakubaki kwao? Ni kujaribu kutafuta chanzo cha mtifuano
Kabla yakikao huyu lazima aje ana bandeg Nakueleza kweli MkuuAhahaaaa....sie tuna dada mmoja kama wa dawa...tulimwambia shemeji siku akiinua mkono kumpiga na sie tunamchapa yeye kwa niaba ya sista.
Hatujasikia hiyo kitu. ...akimshindwa haina take u mgumi afanye kumrudisha tutampokea mzigo wetu.
Nini kifanyike....itisheni kikao na njia ndugu hasa wa kiume muwepo na mumuambie shemeji yenu kuwa hamutokuwa tayari kushuhudia tena manyanyaso kwa dada yenu...mutatoa dozi ambayo hatokaa aisahau maishani mwaka.