kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Nadhani siyo sheets ni shit au mavi kwa kiswahili. Dada zangu wameolewa na wana watoto. Naomba nikusaidie, mtu anayemuoa dada yako lazima umheshimu. Sikubaliani na kunyanyasa mwanamke ila ndugu kuingilia mahusiano ya wawili nikosa kubwa sana. Huwajui wanawake kua uyaone, hapo ndipo utajua kuwa wewe ndiye uliyekuwa unaandika shit. pole ila ya ngoswe muachie ngoswe, hujaoa achana na waliooaMkuu nadhani huna mdogo wako wakike au hayaja kukuta Mzee
Ndio maana unaongea sheets tu
Now dada yangu akijiua Mimi ndie nauchungu nasie huyu mjinga
Yeye atalia kinafiki kisha ataoa mke mwingine
Nikiwa tayari Mimi napengo la kumpoteza nimpendae
Huwenda unao Lakini huwajaliNadhani siyo sheets ni shit au mavi kwa kiswahili. Dada zangu wameolewa na wana watoto. Naomba nikusaidie, mtu anayemuoa dada yako lazima umheshimu. Sikubaliani na kunyanyasa mwanamke ila ndugu kuingilia mahusiano ya wawili nikosa kubwa sana. Huwajui wanawake kua uyaone, hapo ndipo utajua kuwa wewe ndiye uliyekuwa unaandika shit. pole ila ya ngoswe muachie ngoswe, hujaoa achana na waliooa
Bby umeingia humu hata kunijulis halii???[emoji19]Pole sana mkuu.
Alificha makucha sasa ndio yanaonekana
Aliolewa bikra kumbe,bado ana mapenzi ya kitoto wewe vumilia akikimbia mara 2,3 akili zitajirudi atatuliaAcha tu Mkuu nimemlea Dada Yangu kwa kharama nimesomesha kwa kharama nimejinyima vingi
Leo hii jitu moja linakuja kuniharibia furaha Yangu
Nikwamba tu wanawake nao sio watu wakuwaamini kabisa
Lakini niliwaza kumpoteza huyu jamaa
Am sorry... Sorry baby..Bby umeingia humu hata kunijulis halii???[emoji19]
Amjielewi wadada mtapigwa tu hadi nimeshikwa na hasiraKuna rafiki yangu dada yao alipata matatizo kama hayo na alikuwa anakula vitasa si vya kitoto, siku moja anakwenda kumsalimia sister anamkuta na sun glasses kumbe macho yamevilia damu hataki aonekane. Ndugu waliamua kumtafutia nyumba ahame, walipata nyumba Kinondoni walilipa pango la mwaka. Dada alikuwa na kibarua chake, shost ananiambia baada ya miezi sita wanamuona dada na mimba kama ya miezi mitatu hivi, kumbe wameongea na shemeji na wameyamaliza na alikuwa anakwenda Kino kupiga mbonji. Ongeeni na dada yenu mjue anataka nini kwanza.
Mkuu hujui Yalio pita hadi sisi kufikia hatua hii jaribu kutulia tuAliolewa bikra kumbe,bado ana mapenzi ya kitoto wewe vumilia akikimbia mara 2,3 akili zitajirudi atatulia
Unaposema uliwaza kumpoteza inadhihirisha familia yenu ina roho mbaya(hata km dada anauma)na jamaa alishawasoma sasa anataka ajitoe huko
Tatizo watu huwa wanapenda kuchulia mambo simple tuu ila yakiwakutaUmenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Achatu Mkuu inauma sanaaNingekuwa Mimi ningemshauri dada aachane nae tu maana atamuua kwa magonjwa au kipigo raha jipe mwenyewe .
Nakumbuka ile story ya Mdada aliyepigwa hadi mimba ikatoka then wakamsafisha vibaya kizaI kikaoza wakatoa akabakia tasa kisa kung'ang'ania mume .
Nimepandwa na hasira kama dadangu vile upigwe bado umng'ang'anie mtu looooh
Nadhani dada yako anakujua nyumbani kwenu hivyo ana uwezo wa kuja kwa miguu yake na wala si kuletwa kama mtoto mdogo. Tuliza mukari tukuelimishe hata sisi tukiwa kama wewe tulikuwa hivyo. Ila wakati ule JF haikuwepo.Huwenda unao Lakini huwajali
Na hujui umuhimu wao
Hatua zamtu kutoweka bila kupatikana katika simu nakutojua wapi alipo Sihatua nzuri hata kidogo
Kama umemchoka mtu mlete kwao fata Yako
Inaonyesha Shemeji yako anampenda sana dada yako. Ila dada yako anambania K. Ulishabaniwa K ukaona dunia haina maana? Uliza uambiwe usipokuwa na roho ya chuma unaweza mpiga mwanamke. Mara nyingi tunasema michepuko ni balance ya ndoa katika suala la kila siku nimechoka. Ngoja niishie hapo maana huwezi nielewa. Usiku mwema endelea na mipango yako ya kudunda shemeji yako ila kumbuka segerea kama alivyofanya Marato George Marato awekwa chini ya ulinziS
..........
Alimuoa dada Akiwa mpole sanaa Na mcha,mungu. Lakini kila alipo kaaa ktk
Ndoa Amekuwa mtu wa kiburi na dhihaka. Anaweza kurudi Nyumbani
Angali amelewa chakari Nakufanya vituko vyaajabu Anatoka na Vimada
Wanje .....
Mkuu hii kitu inauma me nakushauri tu mlie tyming msela we pigaa tu najua ccter nae akijua hatakuja juu nae pgaa mana ukimwacha ndo matatzo yatazdTatizo watu huwa wanapenda kuchulia mambo simple tuu ila yakiwakuta
Mkuu umeoa kweli?Mkuu hujui Yalio pita hadi sisi kufikia hatua hii jaribu kutulia tu
Sister alikuja home na aligoma kabisaa kurudi lakini tuli lazimisha ili kutunza ndoa na kueshimu ndoa pia
So Jaribu Kujivisha tu tukio kama hili lingekuwa kwako
Ungejisikia vp
Hjaahahja nimecheka sana VP akumuow mama? Maana nawaza kama now ndo baba enu wa kufikia anawaeshimu atarUmenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Mkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kifichoMkuu umeoa kweli?
Hayo ya kupigana ni kitu kingine na hicho unachotaka kufanya ni kitu kingine
Mtu aliyeoa dada ako ni wa kuheshimiwa haijalishi yupoje
Kaa chini subiri ukue haya utayaona