Nimekumis sana na sie yetu Lin JovithaMapenzi ya watu hayaingiliwi pamoja na nindugu yako wakija kupatana utapata aibu na utaonekana wewe ndiyo mbaya
Aisee umenikumbusha kuna kaka mmoja alijiua kwa hasira kisa vijana wenzake walikua wanamcheka eti mama yake anatembea na kakijana kadogo inasikitisha sanaUmenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Yani msimlazimishe kurudi uko tena watu wengine wanaboa sanaAchatu Mkuu inauma sanaa
Alafu unatumia busara Kwa mtu bado anatumia uzaifu wa bususara zako kujikweza
Busara itumikeMkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kificho
Sister anavumilia awamu ya kwanza
Alichoka nakuja home Tukamrudisha haraka awamu ya pili kaja tena akiwa kadhoofu mwili kwa mawazo
Akionesha anapitia wakati mgumu
Tulimuita mshkaji na kumsihi waishi kwa amani kama sister anatatizo kuna ndugu wakaribu nawao aende waka yaongee
Ikaisha hii ni mara ya saba sasa au nane bado mshkaji anazingua inaonesha kaona upole na unyenyekevu wetu silolote
Kama yeye hana heshima sisi tumuheshim kwalipi
Nahata sasa sister kasepa kusiko julikana maana kaona kila akija home tuna msihi tunamrudisha
is too much Boss
Inawezekana.maana nina hasira sanaa.Kama una dada fanya booking Segerea mapema
Nimekuelewa MkuuBusara itumike
Chochote utakachomfanyia huyo shemeji fahamu kuwa huyo dada ako ndio atakua shahidi wa mumewe kukufunga hata kama wanapitia hizo changamoto
Elewa dada atabaki kuwa dada na mume atabaki kuwa mume
Achana na muunganiko wa ndoa ni kitu kingine hata kama dada ako anakupenda vipi
So hamjui haliko hata nyie daaah asirudi tenaMkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kificho
Sister anavumilia awamu ya kwanza
Alichoka nakuja home Tukamrudisha haraka awamu ya pili kaja tena akiwa kadhoofu mwili kwa mawazo
Akionesha anapitia wakati mgumu
Tulimuita mshkaji na kumsihi waishi kwa amani kama sister anatatizo kuna ndugu wakaribu nawao aende waka yaongee
Ikaisha hii ni mara ya saba sasa au nane bado mshkaji anazingua inaonesha kaona upole na unyenyekevu wetu silolote
Kama yeye hana heshima sisi tumuheshim kwalipi
Nahata sasa sister kasepa kusiko julikana maana kaona kila akija home tuna msihi tunamrudisha
is too much Boss
Pia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....Mapenzi ya watu hayaingiliwi pamoja na nindugu yako wakija kupatana utapata aibu na utaonekana wewe ndiyo mbaya
Inauma sanaa Sikuzote wa swahili wanasema uchungu wa msiba aujuae mfiwaPia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....
aisee asikuambie mtu damu nzito kuliko maji.
Kama ambavyo simpigi na kumtesa dada wa mtu basi sitaki hata kufikiria Kuna mwanaume anamtesa dada yangu.
Mmmh haya akili kumkichwaaPia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....
aisee asikuambie mtu damu nzito kuliko maji.
Kama ambavyo simpigi na kumtesa dada wa mtu basi sitaki hata kufikiria Kuna mwanaume anamtesa dada yangu.
Poleni sana...
Mapenzi ni kitendawili sana... Unaweza ona dada yenu anateseka mkamuonea huruma ila mwisho wa siku mwenzeni akarudi huko huko...
Inatakiwa kumkalisha dada yenu chini na kuongea nae, msimamo wake upo wapi...
Cc: mahondaw
Mimi ningepata mashemeji kama nyie ningewakomesha.Ahahaaaa....sie tuna dada mmoja kama wa dawa...tulimwambia shemeji siku akiinua mkono kumpiga na sie tunamchapa yeye kwa niaba ya sista.
Hatujasikia hiyo kitu. ...akimshindwa haina take u mgumi afanye kumrudisha tutampokea mzigo wetu.
Nini kifanyike....itisheni kikao na njia ndugu hasa wa kiume muwepo na mumuambie shemeji yenu kuwa hamutokuwa tayari kushuhudia tena manyanyaso kwa dada yenu...mutatoa dozi ambayo hatokaa aisahau maishani mwaka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapo ndo utaheshimu msemo wa kioa shetani na mti wake
Wanaeake bwana hadi kuna muda huwa nawafikiria sivyo ila wanatusitiri sana
Na ukishamjulia haruki hata waseme nini
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kama una dada fanya booking Segerea mapema
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]mashemeji mda mwingine ni wa kupiga vitasa tu
Wewe itakuwa unatusikia ila hutujui vizuri...lakini pia shukuru MUNGU hukapata mashemeji type yetu....Mimi ningepata mashemeji kama nyie ningewakomesha.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi