Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Shemeji Yangu Anakiburi Kisicho Namaana

Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
Aisee umenikumbusha kuna kaka mmoja alijiua kwa hasira kisa vijana wenzake walikua wanamcheka eti mama yake anatembea na kakijana kadogo inasikitisha sana
 
Usiingilie ndoa ya mtu. Kila mtu anautashi kwenye kusovu matatizo ya ndoa. Dada ako vikimzidi hatarudi tena kwa mmewe
 
Mkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kificho
Sister anavumilia awamu ya kwanza

Alichoka nakuja home Tukamrudisha haraka awamu ya pili kaja tena akiwa kadhoofu mwili kwa mawazo

Akionesha anapitia wakati mgumu
Tulimuita mshkaji na kumsihi waishi kwa amani kama sister anatatizo kuna ndugu wakaribu nawao aende waka yaongee

Ikaisha hii ni mara ya saba sasa au nane bado mshkaji anazingua inaonesha kaona upole na unyenyekevu wetu silolote

Kama yeye hana heshima sisi tumuheshim kwalipi

Nahata sasa sister kasepa kusiko julikana maana kaona kila akija home tuna msihi tunamrudisha

is too much Boss
Busara itumike

Chochote utakachomfanyia huyo shemeji fahamu kuwa huyo dada ako ndio atakua shahidi wa mumewe kukufunga hata kama wanapitia hizo changamoto

Elewa dada atabaki kuwa dada na mume atabaki kuwa mume

Achana na muunganiko wa ndoa ni kitu kingine hata kama dada ako anakupenda vipi
 
Kama una dada fanya booking Segerea mapema
Inawezekana.maana nina hasira sanaa.
Alaf kuna kumbukumbu mbaya ya utotoni.
Baba wa kambo kuna siku alimpiga mama.akafunga mlango.mama katika kunisaidia mimi alinipitishia dirishani kuniokoa maana nilikuwa ndani.bhas tangu siku ile ukitaka ugomvi niununue umpige mwanamke mbele yangu.
 
Busara itumike

Chochote utakachomfanyia huyo shemeji fahamu kuwa huyo dada ako ndio atakua shahidi wa mumewe kukufunga hata kama wanapitia hizo changamoto

Elewa dada atabaki kuwa dada na mume atabaki kuwa mume

Achana na muunganiko wa ndoa ni kitu kingine hata kama dada ako anakupenda vipi
Nimekuelewa Mkuu
 
Mkuu Mimi sijaoa Lakini Nimetumia Sanaa busara nimara kadhaa jamaa amekuwa akifanya umalaya tena hadharani bila kificho
Sister anavumilia awamu ya kwanza

Alichoka nakuja home Tukamrudisha haraka awamu ya pili kaja tena akiwa kadhoofu mwili kwa mawazo

Akionesha anapitia wakati mgumu
Tulimuita mshkaji na kumsihi waishi kwa amani kama sister anatatizo kuna ndugu wakaribu nawao aende waka yaongee

Ikaisha hii ni mara ya saba sasa au nane bado mshkaji anazingua inaonesha kaona upole na unyenyekevu wetu silolote

Kama yeye hana heshima sisi tumuheshim kwalipi

Nahata sasa sister kasepa kusiko julikana maana kaona kila akija home tuna msihi tunamrudisha

is too much Boss
So hamjui haliko hata nyie daaah asirudi tena

Ila mm wanaume wanaotumia vileo huwa siwaamini kuwakabidhi Dada zangu wengi wao majanga tu
 
So hamjui haliko hata nyie daaah asirudi tena

Ila mm wanaume wanaotumia vileo huwa siwaamini kuwakabidhi Dada zangu wengi wao majanga tu
Hatujui Mkuu nawala hapatikani kwenye simu na isitoshe anamtoto mdogo
 
Mapenzi ya watu hayaingiliwi pamoja na nindugu yako wakija kupatana utapata aibu na utaonekana wewe ndiyo mbaya
Pia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....
aisee asikuambie mtu damu nzito kuliko maji.

Kama ambavyo simpigi na kumtesa dada wa mtu basi sitaki hata kufikiria Kuna mwanaume anamtesa dada yangu.
 
Ndio dada yako kapenda dudu lake sasa. Nyie muwe wapole tu, yakimshinda atarudi
 
Pia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....
aisee asikuambie mtu damu nzito kuliko maji.

Kama ambavyo simpigi na kumtesa dada wa mtu basi sitaki hata kufikiria Kuna mwanaume anamtesa dada yangu.
Inauma sanaa Sikuzote wa swahili wanasema uchungu wa msiba aujuae mfiwa

Waombolezaji watakuja kula kufukia na kusepa wakiona nijambo lakawaida ila

Usiombe ya kukute
 
Pia tusisahau mapenzi upofu na niwajibu wetu ndugu kuwasaidia kuona njia vipofu hao wanaotuhusu....
aisee asikuambie mtu damu nzito kuliko maji.

Kama ambavyo simpigi na kumtesa dada wa mtu basi sitaki hata kufikiria Kuna mwanaume anamtesa dada yangu.
Mmmh haya akili kumkichwaa

Take care
 
Poleni sana...

Mapenzi ni kitendawili sana... Unaweza ona dada yenu anateseka mkamuonea huruma ila mwisho wa siku mwenzeni akarudi huko huko...

Inatakiwa kumkalisha dada yenu chini na kuongea nae, msimamo wake upo wapi...

Cc: mahondaw

Mambo ya ndoa ni mazito makubwa kuliko mnavochukulia simpo

Walioko ndani wenyewe wanajuana. Smart911 love Kila ndoa ina maswaibu yake .
 
Ahahaaaa....sie tuna dada mmoja kama wa dawa...tulimwambia shemeji siku akiinua mkono kumpiga na sie tunamchapa yeye kwa niaba ya sista.

Hatujasikia hiyo kitu. ...akimshindwa haina take u mgumi afanye kumrudisha tutampokea mzigo wetu.

Nini kifanyike....itisheni kikao na njia ndugu hasa wa kiume muwepo na mumuambie shemeji yenu kuwa hamutokuwa tayari kushuhudia tena manyanyaso kwa dada yenu...mutatoa dozi ambayo hatokaa aisahau maishani mwaka.
Mimi ningepata mashemeji kama nyie ningewakomesha.
 
Hapo ndo utaheshimu msemo wa kioa shetani na mti wake

Wanaeake bwana hadi kuna muda huwa nawafikiria sivyo ila wanatusitiri sana

Na ukishamjulia haruki hata waseme nini
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mimi ningepata mashemeji kama nyie ningewakomesha.
Wewe itakuwa unatusikia ila hutujui vizuri...lakini pia shukuru MUNGU hukapata mashemeji type yetu....

naomba nije pm nikupe namba ya huyo shemeji yetu kisha mpigie umuulize eti blaza vip mashemeji zako unawaelezeaje kwa sentenso moja tuu jibu atalokupatia ni sahihi na kama mtihani utafaulu kwa alama za juu sana.

dada mwenyewe mmoja kama moyo au kiungo cha uzazi cha kiume kisha shemeji alete za kumpigapiga mara manyanyaso akimuua sie wanetu wamuite nani shangazi. ...

usilete masihara shemeji...tunaweza kukubeba tukapotelea msitu wa mabwepande familia na serikali vikaingia gharama za kututafuta wote kwa pamoja.
 
Umenikumbusha mbali mkuu kuna limsela lilikua linamsalandia maza kweli lilimpata sasa ikawa too much linakuja hadi homu bro akasema upumbavu huu akanagiza fimbo asee tulimkunguta fimbo maza anajitia kuingilia nae kaunganishwa DINGI aliuvuta bado maza kiumbo km binti ivi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom