DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #41
Ha ha....We nae siku hizi unakuwa mtu mzima hovyo, sasa hapo hujaelewa nini?
Legend unashindwa kitendawili cha VIDUDU kweli.
Mzee mwenzangu matukio kama haya unatukosea heshima kuleta huku, hili linakuja huku likiwa lishasolviwa.
Kamanda vipi, unalega siku hizi au tukupunguze cheo toka general mpaka kanali?
Pamoja na ubazazi wangu,
Bado Nina standards na limits zangu kwa mtu wa kutembea nae.