Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niazime Huyo Shem awe Shem wangu kwa muda, nitakurudishia.kwamba huelewi kuwa anataka ufanye nae uasherati?[emoji1]
ila ikumbukwe wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme udumuo milele wa Mungu wa kweli.[emoji124]
Ila mkuu imagine rafiki yako anakukuta chumbani kwake akiwa naked..Do you think atakuelewa?
[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niazime Huyo Shem awe Shem wangu kwa muda, nitakurudishia.
Hutumika wakati wa kutafakari
Mkuu,Mzee DP. Vihela vyako vinasababisha hao wanawake wasione ajabu lolote kwako. Ndio maana Mchepuko haoni shida yeyote ile ilimradi unahudumia. Mwanamke mwenye upendo hawezi ruhusu mwanamke mwingine afanye hayo mbele yake
Junkie mwenye tamaaMe nisiwe muongo, demu wa rafiki yangu anitake ivo, naona mwana ataniua akijua ila mie moto nampelekea sio wa nchi hii then namkataa kama simjui na mazoea yanaisha.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app