Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

Ha ha....
Pamoja na ubazazi wangu,
Bado Nina standards na limits zangu kwa mtu wa kutembea nae.
 
Na wewe tunakuona bonge la baharia kumbe Hanna kitu, usichoelewa hapo nikipi,!! We sema kipi usichoelewa? Au unataka kumkosoa aliyeimba "shemeji shemeji usiku mwazima taa" Mashemeji wa zamani ndio waliozima taa wasl sasa hivi wanaongeza mwanga waonane vizuri. Tens kasema kafanganya anaanza safari Leo, kusema hujaelewa nimetamani nikuchape makofi.
 
Anajua tu,
Mi mwnyw nalijua ilo ndo maana pia nmeweka mipaka yangu
Jitahidi asijevunja mipaka yako, punguza kumuendekeza… its like una huruma and unamtreat vizuri na pengine kwake ana idefine as “unamtaka ila unaogopa au huwezi kusema” so anakurahisishia mchakato ko kuwa makini
 
Ha ha....
Pamoja na ubazazi wangu,
Bado Nina standards na limits zangu kwa mtu wa kutembea nae.
Hahaa...

Pamoja na utetezi wako ulioonyoka, nimekusamehe.

Ila mimi Vladimir MAKAVELI10 putin, nasema kamanda rudi nyumbani, utapigana vita tokea huko, huko UKRAINE tutapeleka mwingine.
 
Hahaa...

Pamoja na utetezi wako ulioonyoka, nimekusamehe.

Ila mimi Vladimir MAKAVELI10 putin, nasema kamanda rudi nyumbani, utapigana vita tokea huko, huko UKRAINE tutapeleka mwingine.
Ha ha ha....
Nmekuelewa chief[emoji4][emoji120]
 
Jitahidi asijevunja mipaka yako, punguza kumuendekeza… its like una huruma and unamtreat vizuri na pengine kwake ana idefine as “unamtaka ila unaogopa au huwezi kusema” so anakurahisishia mchakato ko kuwa makini
Ningekua na minyege ya ovyo mbona nishamparamia,
Mi Ayo yote niliamua kumpuuza maana nilielewa Ni pombe,

Sio nivanye ndivyo sivyo,
akili ikija mrudia nishindwe hata kumtizama usoni.
 
Ha ha ha....
Unamaanisha Safar yake aliipanga aje kutafunwa na Mimi?

Mbona maajabu Aya?[emoji848]
 
kwamba huelewi kuwa anataka ufanye nae uasherati?😄

ila ikumbukwe wazinzi na waasherati hawataurithi ufalme udumuo milele wa Mungu wa kweli.🚶
 
Ivi mkuu hawa watu wako hawapo jamiiforum? au katika wote kwenye story hawana connection jf? Ata huyoo rafiki yako?
Hamna hata mmoja alieko jf,
Uku nje kwny jamii inayonizunguka wengi hawako kabisa jf.
Ndo maana najiachia Sana hapa[emoji4]
 
Ningekua na minyege ya ovyo mbona nishamparamia,
Mi Ayo yote niliamua kumpuuza maana nilielewa Ni pombe,

Sio nivanye ndivyo sivyo,
akili ikija mrudia nishindwe hata kumtizama usoni.
Ndo anachotaka
 
Ila mkuu imagine rafiki yako anakukuta chumbani kwake akiwa naked..Do you think atakuelewa?

Ila una moyo, mwanamke gani anajikojolea halafu bado akukalie duh...Halafu ajitapikie na umsafishe na kudeki matapishi yake. Mungu wangu, na hapo haumwi wala nini...Una moyoooooo[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…