green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nimejua sababu nawapelekaga mademu anajifanya akai kitandani anakimbilia kiti afu unamwagizia chakula na Savana baridi kama 3 zikianza kumpanda unashangaa ameshaikamata koni anaanza kuilamba full dendaNi kweli ndo inavyokuwaga,umejuaje?