Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #61
Duh! Nimtifue shogaDu kama wife ni mbishi anang'ang'ani mdogo wake aje, mwambie kabisa kwamba kuwa wewe (Baba) utalala na mgeni sebuleni/verandani Mama alale na wa kike na chumba kilichobaki alale wa kiume.
Vaa msuli tu na mweleze mkeo punga likipunga utapunga nalo.
Samahani sana hapo utajua mkeo na mdogo wake wana ............... ?
Mie nimemuoa,sababu yake kuu ni kuwa huku tulikoha10Mr umeoa au umeolewa??????
Man needs to be a man, kama anampenda sana mwambie aende yeye na asiende na watoto.
Sasa nimepata jibu mtoto wa kike atalala na mama yake mie nitadondosha na mtoto wangu wa kiume halafu yeye atakumbatia mto ktk chumba cha mtoto wangu wa kikekwani watoto hawawezi kulala pamoja? Laza watoto pamoja na huyo apate chumba chake mwenyewe...
akhu kisa cha kumpaka bnt mapepo ya sodoma?
wala alale ukouko kwa wakiume
km vp mpangien gest ya karibu...ashinde kwako kulala gest
mashoga hawana msalia mtume thy r capable of anythng
Anataka kuja kuyaona makazi yetu mapyakwani kuna ulazima wa yeye kuja kwako kama hamna vyumba vya kutosha,halafu haya mambo ya kulaza watoto na wageni ndio nini?
Sasa nimepata jibu mtoto wa kike atalala na mama yake mie nitadondosha na mtoto wangu wa kiume halafu yeye atakumbatia mto ktk chumba cha mtoto wangu wa kike
Nawe pia...Dah, aisee pole sana. Hayo ndio mambo ya "Mkono usoweza ukata ubusu!"
Huna budi kuukubali ukweli, majaaliwa ya shemejio hayo na ka ugonjwa kake.
Haya, usiku mwema!
Kuna vitu viwili hapa tunapaswa kuviangalia:
1. Mashoga ni binadamu kama binadamu wengine; kuwa kwao mashoga hakuwafanyi wakose hisia na sifa nyengine za kibinadamu.
2. Shemeji yako, ni mjomba wa damu wa watoto wako, ni watoto wake pia; na kama ilivyo kwenye namba moja juu, huyu akiwa kama mjomba na mwenye hisia za kibinadamu, hawezi kuwaharibu watoto wake. Tuchukuwe mfano mwengine; ikiwa mtu ni shoga na ameoa na kupata watoto (wapo wengi waliooa), jee huwaharibu watoto wake?
Lakini kama bado una wasiwasi, basi mwache mama alale na watoto wake, na wewe ulale na huyo "shoga", angalau usiku mmoja tu. Akijaribu kukumendea asubuhi mkaribishe aondoke nyumbani.[/
si vizuri kuwaamini wajomba na wababa wadogo kulala na watoto wako kwani mara nyingi ndio wamekuwa waaribifu namba moja,
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
we unalako jambo hutaki wageni wa sikukuu kisa hujajiandaa unaanza kuleta zengwe!!we una uhakika gani kama ni bwabwa??acha roho mbaya wewe unaonekana ni selfish mkubwa na mchoyo sana...i hate you!!huwezi kumuita mtu gay wakati hujaweka proof hapa..watu wana akili zao bwana!!Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
Duh! Ndugu yangu kweli ligi unaipenda,inavyoonesha unaweza hata kubishana na radio,we unafikiri huku shoga anajificha kama huko Tz? Mimi ndiye shemeji yake na nakuambia ni kuwa huyu my bradha ini lowu wangu halafu unabisha bac we endelea tu kubisha.Na kuhusu kuuza samaki=selfish ni mambo ya kawaida tu kuwa mchoyo wala usitishike sana,kunichukia wala kchwa hakiniumi we endelea tu kunichukia mpaka utakapochoka na kuhusu mkwanja ninao sihitaji mchango wakowe unalako jambo hutaki wageni wa sikukuu kisa hujajiandaa unaanza kuleta zengwe!!we una uhakika gani kama ni bwabwa??acha roho mbaya wewe unaonekana ni selfish mkubwa na mchoyo sana...i hate you!!huwezi kumuita mtu gay wakati hujaweka proof hapa..watu wana akili zao bwana!!
kama hutaki akutembelee sikukuu basi si vyema umchafue!mbona dada yake umempenda??acha hizo!kwani unavyumba vingapi kwako??na kama huna za sikukuu useme wana jf tutakuchangia!
sikukuu njema na uache u selfish!huyo ni shemeji yako muheshimu kama mdogo wako mwingine yoyote!!
kusema ukweli sijawahi hivi karibuni kucheka namna hii. Huyo kaka mumzuie alafu mfunge safari nyie japo siku 2 mkamsalimieDuh! Nimtifue shoga
He he heeeh!!Lala naye chumbani kwako na mkeo ili umlinde vizuri lakini pia akitaka kumsaidia dada yake unaweza kujitolea tu kulinda ndoa yako.